ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Ndo sifa ya mama ntilie, kila mtu anamuhudumia mia hela yako tu
Ahahahahh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo sifa ya mama ntilie, kila mtu anamuhudumia mia hela yako tu
Ndo sifa ya mama ntilie, kila mtu anamuhudumia mia hela yako tu
Naona mama ubaya baada ya kufulia akiwa na domo ikabidi atafte mchepuko wake wa kumpa fedha za kufanyia compitition na kajala
Bado nipo na huu uzi......I
Huyo Maulid ni mchokonoko huko insta... kuna siku alizinguana na Nargis Mohamed kama sikosei... atakuwa kaona kule ujumbe haujafika vizuri akaamua kuuleta Jf
duuuuuuu!sindikiza na kapicha basi ka mkongo..wema huwa anaenda amevaa kininja au iviivi mfotoeni hata kwa simu ya mbali tufanyeje sasa ndo akina jay z na beyonce wetu wa kibongobongo kila siku wana NEWS!
Wakongo hawana jadi ya kuvaa kondomu. kijana wa watu atafia kwenye kidonda aisee-WHO
Mkongo nimewai kuona picha yake...hatari...mavazi yake kama ya Nyoshi Elisaadati (lol) alikuwa anahojiwa akakataa kuwa hachukui superstaa yeyote Tz...sikumbuki ni gazeti au you tube...ila ni kama alisema anamjua Wolper...
Nisichowaelewa hawa wadogo zangu ni kwa nini wanamwaga ela ambayo chanzo chake si sustainable????
Mtajiuza mpaka mnazeeka kwa mtindo huu; hakuna kustaafu...
Maana watu wamejiuza na hatujawai kuona wanatupa tupa ela...at least utasema walikuwa na malengo...hawa wanajiuza ili wakamwage pesa club...
Nimemsikia anahojiwa na kibonde jioni hii, mama ubaya u know za kumwaga wasikilizaji wanaomba aongee kwa kiswahili ndio kwanza you know zikazidi kumiminika, ina maana mama ubaya hawezi kuongea kiswahili hadi achanganye na kiinglish?
Huyo Maulid ni mchokonoko huko insta... kuna siku alizinguana na Nargis Mohamed kama sikosei... atakuwa kaona kule ujumbe haujafika vizuri akaamua kuuleta Jf
Huyo Maulid ni mchokonoko huko insta... kuna siku alizinguana na Nargis Mohamed kama sikosei... atakuwa kaona kule ujumbe haujafika vizuri akaamua kuuleta Jf
Huyo Maulid ni mchokonoko huko insta... kuna siku alizinguana na Nargis Mohamed kama sikosei... atakuwa kaona kule ujumbe haujafika vizuri akaamua kuuleta Jf
Wakongo hawana jadi ya kuvaa kondomu. kijana wa watu atafia kwenye kidonda aisee-WHO
Umejuaje mkuu??