Diamond amka, Mkongomani anakumegea Wema anavyotaka

Ndo sifa ya mama ntilie, kila mtu anamuhudumia mia hela yako tu

Nimemsikia anahojiwa na kibonde jioni hii, mama ubaya u know za kumwaga wasikilizaji wanaomba aongee kwa kiswahili ndio kwanza you know zikazidi kumiminika, ina maana mama ubaya hawezi kuongea kiswahili hadi achanganye na kiinglish?
 
Naona mama ubaya baada ya kufulia akiwa na domo ikabidi atafte mchepuko wake wa kumpa fedha za kufanyia compitition na kajala

Siku izi couple yao imechuja, wema kumbe kaanza umalaya ndo maana juzi alikuwa anajifanya ana hela kumbe katoka kufanywa na mcongo
 
kwa nini LE MUTUZ asiwe promota wa mama ubaya?
 
attachment.php

Chezea mabinti wa mjini weiwe utaumia mwenyewe.
 
duuuuuuu!sindikiza na kapicha basi ka mkongo..wema huwa anaenda amevaa kininja au iviivi mfotoeni hata kwa simu ya mbali tufanyeje sasa ndo akina jay z na beyonce wetu wa kibongobongo kila siku wana NEWS!
 
Mkongo nimewai kuona picha yake...hatari...mavazi yake kama ya Nyoshi Elisaadati (lol) alikuwa anahojiwa akakataa kuwa hachukui superstaa yeyote Tz...sikumbuki ni gazeti au you tube...ila ni kama alisema anamjua Wolper...
Nisichowaelewa hawa wadogo zangu ni kwa nini wanamwaga ela ambayo chanzo chake si sustainable????

Mtajiuza mpaka mnazeeka kwa mtindo huu; hakuna kustaafu...

Maana watu wamejiuza na hatujawai kuona wanatupa tupa ela...at least utasema walikuwa na malengo...hawa wanajiuza ili wakamwage pesa club...

Wakongo hawana jadi ya kuvaa kondomu. kijana wa watu atafia kwenye kidonda aisee-WHO
 
Mkongo nimewai kuona picha yake...hatari...mavazi yake kama ya Nyoshi Elisaadati (lol) alikuwa anahojiwa akakataa kuwa hachukui superstaa yeyote Tz...sikumbuki ni gazeti au you tube...ila ni kama alisema anamjua Wolper...
Nisichowaelewa hawa wadogo zangu ni kwa nini wanamwaga ela ambayo chanzo chake si sustainable????

Mtajiuza mpaka mnazeeka kwa mtindo huu; hakuna kustaafu...

Maana watu wamejiuza na hatujawai kuona wanatupa tupa ela...at least utasema walikuwa na malengo...hawa wanajiuza ili wakamwage pesa club...

Naomba niione picha ya mkongo please.
 
Nimemsikia anahojiwa na kibonde jioni hii, mama ubaya u know za kumwaga wasikilizaji wanaomba aongee kwa kiswahili ndio kwanza you know zikazidi kumiminika, ina maana mama ubaya hawezi kuongea kiswahili hadi achanganye na kiinglish?

Anajifanya kim kardashian, kim my foot, shule yenyewe kakimbis rumande halafu anajifanya utumbo utumbo apa
 
Huyo Maulid ni mchokonoko huko insta... kuna siku alizinguana na Nargis Mohamed kama sikosei... atakuwa kaona kule ujumbe haujafika vizuri akaamua kuuleta Jf

Huyo jamaa ni shidaa, inabidi nimuangalie kwa jicho la pili, maana anakuja kwa kasi asije kunipiku bure, maana huu ubuyu wake ni shidaa, halafu lakini kwa maelezo aliyoongea kama kuna ka ukweli flani ivi, kuna mambo mengine sio rahisi kuamini, ila kwa hili kuna elements za ukweli flani ivi, duh hawa mastaa inabid wajichunge sana na hizi hotel, haswa wema maana anafahamika sana kuliko wenzie, na wafanyakaz wa mahotelin wenyew wambea vile vile, kama wale wa kule oysterbay alikopanga jide eti wanatoa siri za mteja wao kuwa yupo kwao zaidi ya wiki na anatembea na kadi, sasa si kutafutiana ubaya tu
 
Huyo Maulid ni mchokonoko huko insta... kuna siku alizinguana na Nargis Mohamed kama sikosei... atakuwa kaona kule ujumbe haujafika vizuri akaamua kuuleta Jf

Huyo matikiboko yao nae anavyojipendekeza kwa mama ubaya mpaka wamekuwa marafiki, ushabiki mavi tu
 
Back
Top Bottom