Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Mada inajieleza.

Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa anaelekea jambo akasema neno Moja la msingi kwamba anapokuwa na mwanamume na wakaachana haoni sababu ya kuanza kufutana fatana. Hapa Mebeto nikimtaja Kwa Jina Moja, ni binti mwenye nidhamu ukiacha sanaa pembeni.

Mond simjui hanijui na simfutikii Sana lkn enzi za mbagala, tandale nilimjua vyema. Kwa Sasa ana mama watoto wake pale Suoth Africa. Zari. Ni watu wanaoheshimiana. Source ni Naseeb.

Ninachomshauri Naseeb najua wapambe wake wanaosoma hapa. Ampe pesa za mtaji babaake wa kufikia. Si kwamba hampi, noon noo ila ampe na media ziseme Mzee apate kiki si mnajua wabongo tunaishi Kwa kiki.. akimpa promo Mzee atauza.
 
Diamond hana heshima labda useme ni mnafiki!
 
Back
Top Bottom