Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

watu wanasema Diamond ni muumini wa yale mambo yalee ... jumba fulani pale posta, je ni kweli?
 
Mkuu hiyo lugha yako siielewi kabisa. Nini shida?
 
Bora uishi kwa raha duniani ufe uende motoni.
Kuliko kuishi masikini kufa kwenda motoni kwa uzinzi usengenyaji, dhuluma nk

Amina
Utajiri wa kidunia una majuto, Ule usiotokana na Mungu.

Wana wa Mungu, waeza muona anaishi maisha ya kawaida, lakini jambo moja Mungu hufanya, hapungukiwi anachohitaji.

Amani hutawala maisha ya mtu aliye na Mungu, Mwana wa Mungu haezi kuzini, kusengenya kuiba, kuzini nk nk.

Huishi maisha ya Utakatifu duniani.

Amen
 
Una uhakika ni Mungu ndiye kampa? Una uhakika? Kwa herufi kubwa.!
Mara ya kwanza nimeenda kwa Mtaalam, kabla hajaanza kunitibu akamwomba Mungu kwanza.

Kwahiyo haijalishi alivyopata ila Mungu atakuwa alivibariki.

Mungu anasema "Nitabariki kazi ya Mikono yako"
 
Mara ya kwanza nimeenda kwa Mtaalam, kabla hajaanza kunitibu akamwomba Mungu kwanza.

Kwahiyo haijalishi alivyopata ila Mungu atakuwa alivibariki.

Mungu anasema "Nitabariki kazi ya Mikono yako"
Kwamba muungu wa Mtaalamu ndiye Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi?

Usijifariji, muungu wa Mtaalamu ndiye yule maandiko yamemwita muungu wa Dunia hii, na huyo ni Ibilisi na shetani.

Kama ilipata Mali fake kupitia mganga, uwe na HAKIKA umebadilishana na shetani Roho Yako na ukapewa utajiri fake.

Kutoka huko, kubali kupoteza Mali fake zote ulizopata Kwa uchawi, la Sivyo, endelea na uchawi wako.
 
Kila mtu ana namna yake ya kufanikiwa acheni kulazimisha tufanane.
Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama Naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawa na Diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
 
Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama Naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawa na Diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Mkuu ukumbuke alichonacho Diamond ni kipaji. Sikatai, ni kweli hadi kufika hapo alipo amepambana na kujitahidi kuwa na discipline. Ila sasa nikuulize mkuu Je wote twaweza kuimba??
 
Sasa ww hivi ukiambiwa kinyume chake kwamba Diamond unayedhani ni tajiri ila sio tajiri utaamini au unaamini kile unachosikia kwa watu hii dunia ina mengi kijana,kumbuka kuna watu ni matajiri ila hawajapata vijana wajanja Diamond kapata tajiri afu yeye kawa mjanja umeelewa?
 
Nimeelewa ahsantee
 
Sawa Mkuu, ila kumbuka kuna watu wameajiriwa naye na wanatoa sadaka zao siku za Ibada.

Whatever you have, comes from him. Mimi/Wewe jukumu letu ni kupokea tu kama baraka
 
ALiyetoa hii Habari ni mjinga na niwaombe wengine msimfuatishe UNAJUAJE KAMA JITU NI SHOGA AU LAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…