Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Duuh sawa mkuu, unaonekana una focus kubwa sana kwenye malengo yako!
Nimejifunza hilo!
Mengine polojo tu
Kuishi bila malengo, itakuwa hauna tofauti na kuku. Kwahiyo kila Kijana ni muhimu asset malengo yake.

Ila kwakuwa una lugha za maudhi nasubiria ufukuzwe kazi huko uje nikupe mkataba wa miezi 3 na nitawaambia wote hapa uliowatolea lugha za kuudhi kuwa kijana wenu nimemuajiri 🤪
 
Kuishi bila malengo, itakuwa hauna tofauti na kuku. Kwahiyo kila Kijana ni muhimu asset malengo yake.

Ila kwakuwa una lugha za maudhi nasubiria ufukuzwe kazi huko uje nikupe mkataba wa miezi 3 na nitawaambia wote hapa uliowatolea lugha za kuudhi kuwa kijana wenu nimemuajiri [emoji2957]
NIMEJIFUNZA KITU HAPA
malengo
Asset
Lugha nzuri.

Mmh sawa Huenda hii ikawa opportunity kwangu mkuu!
Emu nambie unahitaji unachangamoto gani kwenye biashara yako?

Naweza kuja kuongeza mapato ya kampuni mpaka ukashaangaa!
Karibu, nipe idea nipe muda Alafu tufanye kazi.

Nina ruhusu uje uwambie ulinipa kazi
 
Nashukuru sana.
Nimekuelewa mno.
Unajua sometimes tunaanzisha thread sio kwa ajili ya kudharau wengine, ila ni njia ya kujifunza tu.
Kama hivi umenipa somo kubwa sana.
𝒀𝒆𝒂𝒉 𝒎𝒂𝒓𝒂𝒏𝒚𝒊𝒏𝒈𝒊 𝒖𝒏𝒂𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒂𝒏𝒛𝒊𝒔𝒉𝒂 𝑼𝒛𝒊 𝒖𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒂𝒛𝒂𝒎𝒐 𝒇𝒍𝒂𝒏𝒊 𝒌𝒊𝒄𝒉𝒘𝒂𝒏𝒊, 𝑳𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝒎𝒈𝒐𝒏𝒈𝒂𝒏𝒐 𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒘𝒂𝒛𝒐 𝒉𝒖𝒎𝒖 𝒖𝒏𝒂𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒖𝒌𝒂𝒃𝒂𝒅𝒊𝒍𝒊 𝒎𝒕𝒂𝒛𝒂𝒎𝒐 𝒘𝒂𝒌𝒐 𝒌𝒂𝒃𝒊𝒔𝒂.

𝑵𝒊𝒎𝒆𝒑𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒊𝒕𝒖 𝒌𝒊𝒎𝒐𝒋𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒐, 𝒉𝒂𝒖𝒌𝒐 𝒄𝒐𝒏𝒔𝒆𝒓𝒗𝒂𝒕𝒊𝒗𝒆/𝒎𝒉𝒂𝒇𝒊𝒅𝒉𝒊𝒏𝒂 𝒃𝒂𝒍𝒊 𝒖𝒏𝒂𝒑𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒇𝒖𝒏𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒕𝒐𝒌𝒂 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒇𝒊𝒌𝒓𝒂 𝒎𝒑𝒚𝒂, 𝒉𝒐𝒏𝒈𝒆𝒓𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒉𝒊𝒍𝒐 𝒑𝒊𝒂.

𝑲𝒖𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒆𝒏𝒈𝒊𝒏𝒆 𝒉𝒖𝒎𝒖 𝒏𝒊 𝒘𝒂𝒉𝒂𝒅𝒉𝒊𝒏𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂, 𝒂𝒏𝒂𝒍𝒆𝒕𝒂 𝑼𝒛𝒊 𝒉𝒖𝒎𝒖 𝒉𝒂𝒕𝒂𝒌𝒊 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒇𝒖𝒏𝒛𝒂 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒎𝒂𝒘𝒂𝒛𝒐 𝒚𝒂 𝒘𝒆𝒏𝒈𝒊𝒏𝒆, 𝒂𝒏𝒂𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒂 𝒌𝒖𝒔𝒉𝒊𝒌𝒊𝒍𝒊𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒆 𝒌𝒊𝒍𝒆 𝒉𝒂𝒕𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒌𝒊𝒌𝒐 𝑾𝒓𝒐𝒏𝒈
 
Nashukuru sana aisee!
Haya nitakuwa mfuasi wako katika mada zako na reply kama hizi mana ziko BOLD kutokana na uzito wa ujumbe[emoji120]
 
NIMEJIFUNZA KITU HAPA
malengo
Asset
Lugha nzuri.

Mmh sawa Huenda hii ikawa opportunity kwangu mkuu!
Emu nambie unahitaji unachangamoto gani kwenye biashara yako?

Naweza kuja kuongeza mapato ya kampuni mpaka ukashaangaa!
Karibu, nipe idea nipe muda Alafu tufanye kazi.

Nina ruhusu uje uwambie ulinipa kazi
Hongera kuwa muungwana, ukikosea huna budi kujisahihisha.

Nikiwa tayari tutawasiliana Chief
 
Back
Top Bottom