Diamond anakosea sana...

Kwa kweli mzazi ni mzazi tu, Simba alitakiwa asimpotezee kiivyo mzee wake, alitakiwa amwezeshe hata laki 3 au laki 5 kila mwez kupoza ugumu wa maisha. Badala yake Anko kaja juzi tu anafaidi kila kitu yani kwa maza penzi na kwa mtoto matumizi.
Daah...huku anagonga huku anakula?
 
Kwakweli diamond akikaa kimya atakuwa ni mjinga. Huyo mzee ameishi nae no matter what ilobidi ampe heshima hata kama mtu baki.kitendo kwa alixhawahi kuishi nae wakala kama baba na mtoto hiyo yatosha.

Sijawahi ona mwanamke mwenye roho mbaya kama mama diamond. Pesa zinafanya watu wawe mashetani.
 
Bro yule simuiti mzee ni mdingi tu tunakaribiana miaka chochote analilia anastahili wamemvunjia heshima sana,
You can imagine Diamond sijui nani kamuacha babaake hata wa kumlea analipa bili kwa yule fala tu sijui nani sijui tabata Sijui katoka Ilala akamle kiboga mamaake. Limama ndo hili linaropoka utumbo huku mtandaoni
 
Jamani Wanawake kumbe ni Viumbe hatari sana! Wanaume ukipata mashaka na Mtoto wako,chukua nenda kimyakimya pima DNA alafu kaa kimya na Majibu yako kichwani!!
DNA yeyewe kwenye hii maabara iliyopima papai na kulikuta na virus vya corona?
 
Ni kweli mkuu hizi situation zinakwaza mno hawa wanawake ndio mama zetu lakini ndio mashetani wakubwa wanaweza kukupandisha au kukushusha muda wowote usipokuwa makini kwenye haya maisha.
 
Maisha ya watu yanasiri kubwa sana mkuu usiingilie. Kuna mshikaji wangummoja alifariki miaka ya nyuma na alikuwa na uwezo mkubwa tu. Lakin kwa mwaka ananunua nguo 2 tu mpya tulikuja kugundua baadae jamaa alikuwa wazee wa swanga kwake.
 
Tusiwe wepesi wa kusahau mambo kirahisi,tambua yakwamba mpaka haya maneno kufikia hapa tayari diamond ameplay part kubwa sana kwa mzee Abdul,kisha msaidia sana mpaka matibabu yake ya miguu.
hela ya kula hakuikosa toka lwa mondi.Tatizo ni pale mzee abduli alipotaka haki sawa na mama dangote,yaani kama mama diamond akipewa nyumba basinae apewe,akinunuliwa gari nae apewe

,kutwa kucha mzee abduli alikuwa hakauki interviews mbalimbali akionyesha masikitiko yake kwa umma.sasa ndio maan mama dangote kaamua kumwaga hata zile mboga alizokuwa akipewa mzee abduli.
Binafsi siwezi mlaumu diamond.
 
Kama baba yake alimkataa Diamond kama mtoto wake basi kila mmoja ashinde amechi zake.Diamond atakuwa anaendeleza tu pale baba yake alipoishia.
 
Swali jingine la kujiuliza, je walikuwa na mahusiano mazuri ya baba na mtoto kabla Diamond hajapata pesa na umaarufu?
 
Nilikuwa natafakari uliyoandika, nikakuta kuna like 30 zimegongwa, na mimi nagonga yangu
 
Hili tukio linashabihiana na nyimbo ya Stamina Ft Prof Jay.
 
Diamond + management team yake + wasafi.. ni wapumbavu sana kweli hili jambo.. na kama wote wama mshambulia mzee Abdul. Mungu atawalaani wanavyo mnyanya mzee wa watu kisaikolojia
 
Diamond + management + family + wasafi.. akili zina matope, ni kama wameanzisha vita na mzee Abdul.. wana mshambulia na kumzalilisha bure. Maskini hashambulii tajiri, na ukiona tajiri anamshumbulia maskini, ujue lengo lake kubwa ni udhalilishaji
 
Baba d kasema aliondoka akawaacha. Sasa si aliondoka anataka iweje Tena mtoto ndo anaanza form one??
Mama aling'ang'ania mtoto, baba akaona isiwe tabu niondoke. Huwezi ishi ma mtu anaenda tomb.wa nje anarudi asubuhi hiyo ni dharau
 
Diamond + management + family + wasafi.. akili zina matope, ni kama wameanzisha vita na mzee Abdul.. wana mshambulia na kumzalilisha bure. Maskini hashambulii tajiri, na ukiona tajiri anamshumbulia maskini, ujue lengo lake kubwa ni udhalilishaji
Ingia kwa dada wa Taifa utaelewa kwa nini wanatumia nguvu kubwa?

Issue ni kulizima soo la Esma madawa ya kulevya na ujambazi.

Dada wa Taifa hajawahi kutuangusha.

Hawa matapeli kumbe wanatumia nguvu kubwa ili kuficha skendo la Esma watu wasahau.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…