Diamond anakosea sana...

Diamond anakosea sana...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..

Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu..

Diamond alipaswa sasa kumlaumu na kumchukia huyo Baba yake alietajiwa Kwa kutokuwepo wakati wa maisha yake..
Badala yake Diamond naona anajipendekeza Kwa huyo biological father hadi kujiweka karibu mno na huyo mdogo wake wakati maisha yake yote
Amekuwa anamlaumu Mzee Abdul Kwa kuwatelekeza....

Sasa kama unaesema alikutelekeza unagundua sio Baba yako si ndo unapaswa kushukuru hata Kwa madogo aliyoweza kukupa?Kuku sitiri usijione huna baba?Kukupa jina lake? Kumsitiri mama yako?..

Why Mzee Abdul awe kama 'adui'wakati
Alichofanya ni kwend na flow Tu kadri mama yake Diamond alivyotaka?..

Mtoto wa kiume akifika umri wa miaka 25 unatakiwa uwe kiongozi wa mama yako
Hasa kama Mama mwenyewe ana changamoto za malezi..tabia na elimu kama alivyo Mama yake Diamond....

Haya wanayonfanyia Mzee Abdul ni kumuonea mtu anaehitaji msaada Kwa makosa ambayo sio yake..

Kusaidia Hadi strangers huku mtu aliewahi kukupa matunzo hata kama ni ya siku moja anataabika ni kumjaribu Mungu..karma itawaadhibu..
 
Si nasikia baba wa damu alikuwa mondo akiwa mimba angemleaje?

Pia mzee Abdul ni baba ake yaani asikwepe

Huyo anakuja kuweka sintofahamu za kushare baba na mondi anauakika gani? Si ajabu ye mwenyewe ana baba wa kubambikizwa.
 
Diamond hakupaswa kuingilia ugomvi wa "Wazazi" wake.

Anyway, Acha nichukue jembe nikalime. Wakimaliza mzozo nitajitwisha kapu la mavuno.
 
Aibu imeondoka kwa Kasi sana duniani. Mama anadhihirisha kuwa mtoto wake ni mwana zinaa!
Jamani Wanawake kumbe ni Viumbe hatari sana! Wanaume ukipata mashaka na Mtoto wako,chukua nenda kimyakimya pima DNA alafu kaa kimya na Majibu yako kichwani!!
 
Back
Top Bottom