April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,405
- 2,147
Kmkmkmk Leo haka kamdada kamekula cherehaniView attachment 1644665
Hyo hapo , au na size ya uume wake pia unataka kujua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kmkmkmk Leo haka kamdada kamekula cherehaniView attachment 1644665
Hyo hapo , au na size ya uume wake pia unataka kujua?
Warumi bnaaa ha ha ha 🤣View attachment 1644665
Hyo hapo , au na size ya uume wake pia unataka kujua?
...unasema leo? mbona huyo ni KILA SIKU..🤣Kmkmkmk Leo haka kamdada kamekula cherehani
Bado sijaelewa, kwamba unashangaa Chibu kununua IPhone au???
Then, una uhakika gani kama ni yake? Japokuwa ana uwezo wa kununua hizo zaidi ya 1OO lakini sio kila unachomuona nacho mtu ni cha kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka had mbavu znauma lol, kua wee ndo system [emoji366]? Uwiiiiiiiih[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha khaa[emoji23][emoji23], mie tena binamu , umbea Ndo kazi yangu , hata akiwa anacharge nitawaambia
Tobaaaaaaah lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1644665
Hyo hapo , au na size ya uume wake pia unataka kujua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani niwaone wanazengo maana sio kwa majibu hayo, watu wana midomo kama nini[emoji23][emoji23], usikute ukimuona mpole mwenyewe halafu mme wa mtu [emoji23]
Duuuh...unasema leo? mbona huyo ni KILA SIKU..[emoji1787]
We fala kwel 😁😁😋Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.
Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.
Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.
Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa[emoji2363]
Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]