Diamond anunua Iphone kwa mara ya kwanza

Diamond anunua Iphone kwa mara ya kwanza

Bado sijaelewa, kwamba unashangaa Chibu kununua IPhone au???

Then, una uhakika gani kama ni yake? Japokuwa ana uwezo wa kununua hizo zaidi ya 1OO lakini sio kila unachomuona nacho mtu ni cha kwake
 
Bado sijaelewa, kwamba unashangaa Chibu kununua IPhone au???

Then, una uhakika gani kama ni yake? Japokuwa ana uwezo wa kununua hizo zaidi ya 1OO lakini sio kila unachomuona nacho mtu ni cha kwake

Nilitaka kusema labda anafanyia promo lakin come on iPhone they need no promo , itakua tu ni yake , c unajua domo uswahil Uko kwenye damu, hvyo vitu wanatakiwa wafanye akina juma lokole sio yeye
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha khaa[emoji23][emoji23], mie tena binamu , umbea Ndo kazi yangu , hata akiwa anacharge nitawaambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka had mbavu znauma lol, kua wee ndo system [emoji366]? Uwiiiiiiiih
 
Ina maana hujui kuwa iphone zinamilikiwa na watoto wa zari,mwenyewe alisema hashobokei huko.

Kulikua na povu kali la waja hasa team chuchunge
 
Natamani niwaone wanazengo maana sio kwa majibu hayo, watu wana midomo kama nini[emoji23][emoji23], usikute ukimuona mpole mwenyewe halafu mme wa mtu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.

Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.

Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.

Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa[emoji2363]

Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]
We fala kwel 😁😁😋
 
Back
Top Bottom