REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Unakili sana weweHapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Ziko kwenye kilabu gani ofisi za King Kiba?Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Kwanini hukubaliani nae? Tatizo sio kuanzisha bali uendeshaji. Kwahiyo tusubiri kuona hizi stations zitaendeshwaje endeshwaje. Kama zitakuwa kinda independent stations giving "almost" equal opportunities to all stakeholders like other recording companies, labels, producers, basi hakuna tatizo lakini kama itakuwa kila asubuhi Diamond?WCB wanaenda kufanya interview... na kupiga nyimbo za Wasafi bandika bandua; hiyo itakuwa haikubaliki and completely unprofessional.Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
mbona chadema hadi leo hawana makao makuu
online tv nadhani.Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Kwahyo humo wanaweka CD tu, au watakua wanapigia na show ofisin?
Ndio katoa kasema haijanunuliwa imekodishwa tu. Kaweka hadi picha za hao wenye nyumba na kwamba muhusika yupo jela. Kodi itatumika kusomeshea mtoto. Mwisho amemsifu Mondi kwa kukodi ofisi nzuri ya gharamahongera zake kijana,hivi dada wa Marekan katoa maelezo yoyote kuhusu huu mjengo?
Team at work!Kiba Mbona ana ofisi kali zaidi ya hiyo Kitambo sana....... Sema tu hana makuu
Kma una kata tamaa na PhD vp std 7 asemejeMimi na PhD yangu sijui nitafikia lini huko..nahisi kukata tamaa
Kwani ni mashindano?Kiba Mbona ana ofisi kali zaidi ya hiyo Kitambo sana....... Sema tu hana makuu