heeeee heeeeeee unaweza zimia kwa hili bango aiseeeee
Ahahahaaa we huoni kama ni ajabu?yaani kurumbembe zina ashki majinun sijawahi kuona dina wallah!khaa!mpaka unashangaa hivi wananini na sisi?!jibu ni moja tu...Joto lao limepanda na linahitaji kushushwa kwa namna yeyote ile!!!
Nenda Facebook search Tanzania wire.
Kweli kabisa kuna wengine nyie wadada mnadhani wanawake wenzenu kumbe ni mameni haahhhahah
Kama ulivyosema kuna shobo mblnuko, shobo mbonyeo na shobo bapa pia hahahhhahah
Harusi sio zao wala hawajaalikwa humu minywele timtim lakini wametia timu.
Kuingia sehemu isiyo kuhusu ya nini kama sio midomo yao kama chuchunge inatafuta pace maana harufu zimezidi
Halafu hawana kazi chekini profile zao wameandika jobless hahahaha sio bora wangeandika wao ni mamalishe tungewaelewa au deiwaka.
Watashindana lakino hawatashinda.
Aisee mbona wamesema ya uongo? Mnataka kujadili uongo au? Huyu aloleta habari za Uongo ningekua Moderator ningempiga ban.
[h=1](Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015[/h]
Kuna mahali kaandika kua ni yake?Domo hiyo gari si yake anawarusha roho tu, ni ya rafiki yake wa huko nje, yeye ameuzia sura tu hapo
Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.
Hatariiiiiiii, na bado....
na Hilo joto wa kulishusha hayupo sasa,nishawajua sasa kumbe ni hicho kinawasumbiuaaaa,,pole zap
Kuna mahali kaandika kua ni yake?
jaman taratibu naona Kuna ban ishanukia wanapaniki mno tatizoo loo,dawa kali mno
Nani baba samira ha ha ha tatizo anachukulia mambo serious mnooo...ila ntammissumeona Baba nanii kala ban sijui nani kampanikisha hhhhhaaaaaaaa yaan hii wiki iishe ntakua nimeongeza siku
Humu JF tuna kila aina ya jinsia!tuna mashoga ambao baadhi wameshakiri ila wengine bado naona wanavunga vunga kujitaja!!tuna watafuta mabwana humu,tuna vilaza na shobo mbinuko ziko humu!kila watu tumo humu,wenginebndio kazi yao hii tangu asubuhi.
Uuwiii Kim wee eti shobo mbinukooo...hehehee
Utanfanya.nianze.ijumaa yanguWengine hata hatujui aina za magari lakini hata iwe Ferari sijui posche ama Vits tunachojua ni kua kanunuliwa gari
Ushahidi kwamba kanunuliwa hiyo Lambo na Zari uko wapi?
Au mkishaona mtu kapiga picha na kitu tayari mnameza hook, line, and sinker?
Hiyo ndio akili msifuatishe Matola mod anayemban anajisumbuwa tu.
Hao wana ulinzi maalum hapa jukwaani ukisema ukweli nani anawalinda subiri ban, nawaomba muwe watulivu huku mnakandamiza sindano za moto.
Huku hamjulikani nimetoka facebook huko ni balaa ukitaka kujuwa Domo hapendwi na watu wamempania. Nenda Facebook uwaone watu kwa majina haliisi na facebook hakuna ban watu wanajiachia tu.
Kuna watu huwa wanajidanganya kumpiga ban za kijinga Matola ndio kuivunja nguvu Team ya ushindi hovyooooooooooo.