Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Kaka wanasemaga usililie uzuri, lilia bahati. Kupendwa raha sana.

Nimekukosa tu
Hii ni habari njema hasa kwa serikali yetu iliyofirisika TRA wakamue half half yao, kama si michezo yetu ile ya kuigiza.

Mimi baby wangu kaninunulia boxer am very proud of her.
 
Ndo maana huwa watu wanasema. Siku zote story ina sehemu mbili. Sehemu ya pili imetokea sasa na picha ya mwenye gari.
Watanzania bana walikuwa washawatisha watu. Mi nikajiuliza sasa ataileta lini huku apige watu fimboz kumbe gari ya kupigia picha

Hivi Le Mutuz bado hajapost insta tu? Maana yeye ndiye katibu wa mapenzi yao...
 
Hivi, huwezi kuwa unapenda wanamuziki wawili ama watatu tafauti? Yaani kwenye muziki wa bongo unampenda kiba tu kama ndoa vile? Mnajinyimaga uhondo wala hamjastukia tu
 

Mtego mdogo wanacheza na akili za wajinga wajinga,kwanza kapost bila maelezo,ila nimepata habari video inatengenezwa,sasa hivi vidada vinaingia kichwa kichwa,ndo wale wanaopelekwa kwenye magheto ya masela
 

Hahahahaaa, pls inatosha jamani maana kichwa kinaniuma sasa...
Leo sijui uko katika mood gani maana kila bomu unalotoa ni balaaa.
 
Ushahidi kwamba kanunuliwa hiyo Lambo na Zari uko wapi?

Au mkishaona mtu kapiga picha na kitu tayari mnameza hook, line, and sinker?

According to his instagram account, Diamond claimed to receive this from Zari...
 
Mtego mdogo wanacheza na akili za wajinga wajinga,kwanza kapost bila maelezo,ila nimepata habari video inatengenezwa,sasa hivi vidada vinaingia kichwa kichwa,ndo wale wanaopelekwa kwenye magheto ya masela

Yaani ni fedheha mno kwa watu kuwa wajinga kiasi hiki.

Mbaya zaidi ni kwamba hata kujistukia kuwa ni wajinga na wamechemsha hawawezi maana inavyoelekea hawana hata huo uwezo.

Hakuna mtu asiyechemsha. Tofauti iliyopo kweti sie wengine tukichemsha huwa tunajistukia mapema kuwa tumechemsha na tunajitahidi kujirekebisha.

Lakini hawa akina Kuluthumu.....hahahahahaaa tabu tupu.
 
Safi sana Zari, unaonesha jinsi gani unavyotafuta na kutumia pesa zako, umeonesha jinsi gani kuwa wewe sio golikipa wa kusubiri uletewe...
Wengine wanajua kutumia tu na kwenda kuzichezea bila kuwa na uchungu wa kuzitafuta...
 
Hivi, huwezi kuwa unapenda wanamuziki wawili ama watatu tafauti? Yaani kwenye muziki wa bongo unampenda kiba tu kama ndoa vile? Mnajinyimaga uhondo wala hamjastukia tu

Eeish, kwani unadhani nampenda huyo mmoja tu? Ungeniuliza kwanza kabla hujatoa hitimisho.
Nawapenda wengine kama Bell9, Fid Q, Joh Makini, Khadija (wa bongo flavour sio taarab), Jay D n.k
Hiki kinachoendelea huku ni kati ya Kiba vs Diamond. ...na mimi niko upande wa Kiba.
Kwa hayo machache nadhani umenielewa vyema bibie.
 

Mie la saba mpwa...
Halafu kureasoan ndio nin??
 
Mwenye gari huyo hapo
 

Attachments

  • 1434472770601.jpg
    70.9 KB · Views: 266
  • 1434472818855.jpg
    59.2 KB · Views: 269
  • 1434472853329.jpg
    63.7 KB · Views: 244
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…