Eeish, kwani unadhani nampenda huyo mmoja tu? Ungeniuliza kwanza kabla hujatoa hitimisho.
Nawapenda wengine kama Bell9, Fid Q, Joh Makini, Khadija (wa bongo flavour sio taarab), Jay D n.k
Hiki kinachoendelea huku ni kati ya Kiba vs Diamond. ...na mimi niko upande wa Kiba.
Kwa hayo machache nadhani umenielewa vyema bibie.
Wewe endelea kusubiri tu, aki-rip uone kama vitu vyake havitakuwa oversize. Utaweza weye?
Hahahahaaa, pls inatosha jamani maana kichwa kinaniuma sasa...
Leo sijui uko katika mood gani maana kila bomu unalotoa ni balaaa.
Hahahahaaa, aibu naona mimi hadi natamani ni log out maana sio kwa kumwaga povu huku....
Akiba ya maneno ni kitu cha muhimu sana
Haaaaaaaaaaaaaaaa mazafantaz ....
Ukikaribia kupasuka unishtue nije nikushikilie
SI nawe ufungue Tu hata kumi mpenzi ,mim mwenyewe na mpango wa kuongeza AMA nene tichaa halaf uje pm harakaa
Mi nishajikata zangu,ukila nauli lazima ujue shotikat za mjini
Yaani ni fedheha mno kwa watu kuwa wajinga kiasi hiki.
Mbaya zaidi ni kwamba hata kujistukia kuwa ni wajinga na wamechemsha hawawezi maana inavyoelekea hawana hata huo uwezo.
Hakuna mtu asiyechemsha. Tofauti iliyopo kweti sie wengine tukichemsha huwa tunajistukia mapema kuwa tumechemsha na tunajitahidi kujirekebisha.
Lakini hawa akina Kuluthumu.....hahahahahaaa tabu tupu.
Watanzania ni rahisi sana kudanganyika....
diamond kazidi aseee sijui nihamie kwa davido hadi nahisi wivumim nimenuna hapa natamani kupasuka kama lemtumbozzzz hhhhaaa
Kinachonisikitisha humu kuna kina dada sina shaka na elimu zao lakini inakuwaje wanashindwa kujuwa vitu vidogo kama hivi?
Mtoto wa Bakhresa akiupload picha kama hiyo hakuna maswali ni vitu vidogo sana hivi kwao lakini huyu mswahili sasa ameamuwa kuwadharau mashabiki wake kwamba ni kundi la mazuzu yasiyokuwa na tofauti na mabehehewa kinapoelekea kichwa na wao ni huko huko hobelahobela tu.
Naanza kuamini rasmi Lowasa ndio Rais wa awamu ya tano maana wapiga kura ndio hawahawa wasiotumia hata sekunde ya kuhoji na kudadisi.
diamond kazidi aseee sijui nihamie kwa davido hadi nahisi wivu
nashangaa wenye akili wamejichanganya na wasio na akili hu hu hu hu hu hu,badala waende majukwaa ya wenye akili hu hu hu hu
uwe na ht mia ila matusi ni upuuzi
Shosti kwani ulikuwa unamtetea mzee wa ndimu?????
Hujui kiki zake???