Diamond apata mapokezi makubwa Mombasa leo

Msanii Punda hafai kushabikiwa katika maisha haya ya kitanzania, Diamond hajui na Hana kipaji simpendi na sitomshabikia hadi nakufa
 

Aisee umemaliza yote!Sijui ulikua wapi siku zote!
 


Diamond akiwa pamoja na watoto yatima huko Mombassa kabla ya tamasha lake.
 

Hapo sasa ndo unapokosea...kwa..mfani mtu hayupo kwenye hizo team wema na diamond lakini yeye anamkubali diamond kwa namna moja au nyingine kazaliwa dsm kasoma kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu dsm, katembelea mikoa mingi kuanzia dar mpaka kigoma...nje ya Tanzania mpaka buckingham palace katia timu, kazi amebahatisha kupata lakini Diamond anampenda? kwa vigezo vyako ulivyovianisha unaona vinafit? au umegeneralize tu?
 

jiulize wapi nimesema kuzaliwa Dar ndo kuitwa mtoto wa mjini au kutembea tu inatosha kua na exposure, mbona hata mjini mafala wapo tu wengi na hawana mbele wala nyuma
 
Watoto yatima tunawasaidia kila siku hivo sijaona cha kukutetemesha hapo
 
Mkuu umenifanya nipigwe kofi na wifi yako kitandani kwa kucheka maana nimecheka hadi kikojoleo kimechomoka

pole wangu ila kuna watu inabidi uwape high dose of antibiotics ili infection ya chuki iwe cleared before killing others.
 

Hivi ni kitu gani kinafanyaga umchukie Diamond kiasi hicho,hujui kama unajipa stress za bure wakati mtu hata hakujui?
 

Yani ni aibu imepitiliza kuna matusi humo utazan watu wamechanganyikiwa
 
jiulize wapi nimesema kuzaliwa Dar ndo kuitwa mtoto wa mjini au kutembea tu inatosha kua na exposure, mbona hata mjini mafala wapo tu wengi na hawana mbele wala nyuma
Swala sio kutaja kwamba wapi ni mjini Dar ni kama mfano maana ndo Tanzania yenyewe,ili uwe mtoto wa mjini si inabidi ue unatoka mjini? sasa kama hujatembea umekaa tu sehemu moja utaweza kua exposed kivipi maana inabidi uone tofauti kati ya sehemu A na B napia kuweza kutoboa katika sehemu zote hizo? au unataka useme unakua exposed kwa kusikia vitu toka kwa watu bila wewe mwenyewe kua exposed? au kufika sehemu? au ulikua unamaanisha nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…