- Thread starter
- #21
Kumchukia diamond nikujikondesha moyo na kujitafutia stress cos kila mwaka lazima achieve vitu vingi ni Bora uwe ni hater Kama wakina Alikiba, Tid,chid benz,Aslay hawa hawawezi kukupa tabu na hata kasi yao ya mziki ni ndogo.Na hapa mmeona?tuzo za kupewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1379820
Pheeewiiiiii