Diamond apokelewa kama Rais Msumbiji, apewa heshima zote za kirais

Mtoa Mada Umekurupuka.........! Kapicha??????
 
Wewe team kiba tushakujua ..
Ujue haya mambo huwezi kuficha Mkuu.
Reply zako tuu hata mada za nyuma kuhusu Mond na kiba zinaonesha uko wapi
Hakuna team kiba kuna team mchukia mondi..SiSiku mondi akitangulia mbele za haki kiba atabaki kama ray wa bongo move.
 
Nimeangalia insta yake kwakweli katisha, yaani hadi makamanda wamesahau majukumu yao wanajichukua selfie
 
Nimeangalia insta yake kwakweli katisha, yaani hadi makamanda wamesahau majukumu yao wanajichukua selfie


Kwa mujibu wa wadau wa humu, wale makamanda walilipwa na Babu Tale wakagombee selfie
 
Diamond ni wa kimataifa jamaa anakubalika sana inje ya Tanzania

Kama ni 'inje' ya nchi, hata Mr Nice alikuwa anakubalika kwa nyimbo zile zile za kuku kapanda baskeli bata kavaa laizoni
 
Wabongo huwa tunashinda Ku appreciate vya kwetu, Asante Mond umetuwakirisha vizuri na wala hujawai kutuangusha watanzania.
 
Mitanzania mijinga sana yaani Rais ni kitu cha maana sana
 
Tunakuombea uzidishiwe roho mbaya , amen.
 
Awa wasanii wasijisahau ata Mr nice. Alikua vivi hivi,.. Kambulia gonjwa kuu
 
Freemason huyo[emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]
 
Hahahah
Nimeshindwa kuvumilia Kutoa meno kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…