mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba.
Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao.
Akajibu.....
Namnukuu " kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia, kama nimeweza kufanya na wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na. wasanii wetu wa nyumbani......nimeshasaidia wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya nae.
Kiukweli mimi nimeshafika level fulani ivyo ni rahisi ata kumtangaza mtu kimataifa,so ikitokea mtu anaitaji nimsaidie mi sina tatizo"
Wasanii wa kimataifa Diamond aliofanya nao collabo mpaka sasa
Waje - Nigeria
Mafikizolo - South Africa
Kcee - Nigeria
Don Jazzy - Nigeria