Diamond asema "Nipo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba"

Diamond asema "Nipo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba"

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba.

Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao.

Akajibu.....

Namnukuu " kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia, kama nimeweza kufanya na wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na. wasanii wetu wa nyumbani......nimeshasaidia wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya nae.

Kiukweli mimi nimeshafika level fulani ivyo ni rahisi ata kumtangaza mtu kimataifa,so ikitokea mtu anaitaji nimsaidie mi sina tatizo"

Wasanii wa kimataifa Diamond aliofanya nao collabo mpaka sasa

Waje - Nigeria
Mafikizolo - South Africa
Kcee - Nigeria
Don Jazzy - Nigeria
 
Amezungumza ukweli kama ni hivyo.. Lakini lugha ya uwasilishaji kidogo ina mushkeli..

Wasanii wakijifunza kupokea mambo positively watafika mbali sana.. KIba atambue diamond ni msanii mkubwa kwa sasa (Japo simpendi kiushabiki), lakini akihisi ni ushindani na ni kujishusha kufanya kazi, basi atapata tabu kutoboa kimataifa (he will have to wait, or go thru a longway)..

Diamond na Alikiba, Ndio bonge la kollabo linalotamaniwa na wapenz wa muziki nchini kwa sasa!!!!!!

Ata kuwaweka stage moja ni biashara kubwa kwa sasa. Yani awa watu kusimama pamoja ni biashara kubwa sana tofauti na watu wanavyochukulia .
 
kwa hiyo diamond kamsaidia hata profesa(aka nigga) J kwenye kolabo yao?
 
Nahisi kuna maneno kwenye hii habari kama kweli kayasema kama alivyo nukuliwa yatazidisha uhasama!
Hilo neno kumsaidia lilikuwa halina sababu kutumika badala yake lingetumika neno kuwa Niko tayari kufanya nae Collabo kama ikitokea....

Neno "kumsaidia" linasikika vibaya sana kwenye hii habari na sijui kama ni kweli kalisema sijui Kiba atalitafsiri vipi?
 
Ndomo hana akili.amsaidie nani wakti alikiba jembe zaidi yake.mwambie domo ambunguze dharau asifikiri hivyo via award vya kishetani vnamba kiburi
 
Kama kimataifa Mbona Kiba kaimba hadi na R kelly? kama shoo za nje mbona kiba kafanya sana?..na wewe Kiba ulishindwa nini kuomba collabo na R kelly na Ipupa na amani wakati ulikua nao muda mwingi mkifanya mazoezi ya kuimba na kurekodi?..ona sasa hata washamba wanakudharau!..acha tuu waendelee kukudharau umezubaa sana wewe Kiba!.. huyu mshamba ataendelea kukunyanyasa sana kwa ujinga wako!...
 
Kiukweli sisi mashabiki wa Ali Kiba tunaumia sana na usimple wake,natamani siku nimuone sijui nitamcharaza viboko ili nae aone ni jinsi gani naumia????Alipata golden chance kwenye ile project ya One 8 lakini akazembea...sasa hivi tungekua tunazungumza habari nyingine....
 
kwa hiyo diamond kamsaidia hata profesa(aka nigga) J kwenye kolabo yao?

Hahahaaaaa,alafu aliimba vibaya sijapata ona hasa pale mwishoni sauti iligoma kabisaaa
Prof.J angemtumia Q Chillah ule wimbo ungekua hatari sana
 
Nahisi kuna maneno kwenye hii habari kama kweli kayasema kama alivyo nukuliwa yatazidisha uhasama!
Hilo neno kumsaidia lilikuwa halina sababu kutumika badala yake lingetumika neno kuwa Niko tayari kufanya nae Collabo kama ikitokea....

Neno "kumsaidia" linasikika vibaya sana kwenye hii habari na sijui kama ni kweli kalisema sijui Kiba atalitafsiri vipi?
Diamond kufanya kazi na Ali Kiba ni msaada kwa Kiba, Diamond yuko level tofauti na Kiba, na hiyo ni faida kwa Kiba kuskika out.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba.

Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao.

Akajibu.....

Namnukuu " kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia, kama nimeweza kufanya na wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na. wasanii wetu wa nyumbani......nimeshasaidia wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya nae.

Kiukweli mimi nimeshafika level fulani ivyo ni rahisi ata kumtangaza mtu kimataifa,so ikitokea mtu anaitaji nimsaidie mi sina tatizo"

Wasanii wa kimataifa Diamond aliofanya nao collabo mpaka sasa

Waje - Nigeria
Mafikizolo - South Africa
Kcee - Nigeria
Don Jazzy - Nigeria

Kuna wakati huwa nadhani watu maskini ni bora waendelee tu kuwa maskini. Ni malimbukeni sana.
 
Attachments

  • 1413469260922.jpg
    1413469260922.jpg
    31.5 KB · Views: 903
Inawezekana Diamond alimaanisha jambo zuri tu ila sijapenda alivyosema yuko tayari ''kumsaidia'' Alikiba, kwani Alikiba ni underground hadi aombe kusaidiwa? Kama ningekua Alikiba kwa kauli ya kitoto kama hii nisingethubutu kufanya kazi na Diamond hata siku moja maana hizo ni kauli za wanawake wa pwani.
 
Masikini akipata makota ulia mbwata,diamond hajui maana ya kusaidiwa ngoja nimfahamishe,Bob junior alivyokurekodia bure wakati upo majalala pale ndio kusaidia.

Hivi domo naye mnamuweka kwenye orodha ya waliopata?
 
Attachments

  • 1413469761574.jpg
    1413469761574.jpg
    37.4 KB · Views: 784
Ally kiba kufanya collabo na ndomo ni msaada tosha.maana hela ya kumlipa diamond hana.ndomo msaidie mtoto wa mama huyo asiyejitambua
 
Back
Top Bottom