Diamond asema "Nipo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba"

Nilisema siku nyingi watu watapotea humu.....leo wame admitt kuwa jamaa kafanyiwa kitu mbaya.Kutukana wakunga wakati una mimba changa ni kutafuta vita.

umeona eeeh!!
ila wanavisingizio hao hatarii!
 
nifaaaaaaaa
nlilala jana humu ndani mimi,weewe na miss strong ndo wadada wa kiba na madongo yotee ila tumesimama

Tumesimama imara mpenzi hadi tumewakalisha....wewe acha hakuna siku niliyowahi kufurahi kama jana
 

Nadhani majibu umeyapata kwenye Fiesta jana.

JF leo iko tulivu hakuna kelele.
 
Last edited by a moderator:
jamani tema mond na team kiba....Historia inaonyesha diamond ni mtoto wa kiba kimuziki

hiyo kauli anajilaanisha maana kiba yuko kimya

btw Nakshi mrembo mpaka leo haina mpinzani....achilia mbali cinderela,mac muga...

mwana dsm sio wa mapenzi....lakini inatisha
 

Jay dee na Diamond?
 
Nadhani majibu umeyapata kwenye Fiesta jana.

JF leo iko tulivu hakuna kelele.

Leo mpaka nacheka kuwaona mashabiki wa Almasi wanatoa mawazo ya busara mpaka nawaambia mbona kabla ya jana hamkuyatoa hayo mawazo maana tumewazoea kwa majigambo na dharau.
 
hiyo kauli ndo iliyomponza dangote ka vp ajipange upya tena aje na msamaha kwa teamkiba1 tutamuelewa umaarufu wake hukohuko hapa kwetu sifa kaulisafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…