Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisema siku nyingi watu watapotea humu.....leo wame admitt kuwa jamaa kafanyiwa kitu mbaya.Kutukana wakunga wakati una mimba changa ni kutafuta vita.
nifaaaaaaaa
nlilala jana humu ndani mimi,weewe na miss strong ndo wadada wa kiba na madongo yotee ila tumesimama
umeona eeeh!!
ila wanavisingizio hao hatarii!
Na huyu asemaje?
Kwa Kweli Ally kiba kabemendwa na majimama ndio maana kazubaa kama mchuzi wa juzi
Dinazarde umenena hakika!
Huyu Alikiba naye kazidi unyonge sana hadi ana kera!
Anatakiwa aanze kupambana nae sio kunyaza tuu!
Aanze kubadilika kwenye mavazi na anatakiwa kujibu hii statement ya Diamond kwa kusema sihitaji msaada wa mtu!
Mashabiki wanatamani Ally apambane na Diamond jino kwa jino sio kuwa mpole ....hadi ana kera!
Yani jana nilicheka wewe acha tu,sijui Lakisipesa ana hali gani jamani????
laki si pesA anawayawaya tu hukooo
mbele hana nyuma kumeharibika tenaa
Amezungumza ukweli kama ni hivyo.. Lakini lugha ya uwasilishaji kidogo ina mushkeli..
Wasanii wakijifunza kupokea mambo positively watafika mbali sana.. KIba atambue diamond ni msanii mkubwa kwa sasa (Japo simpendi kiushabiki), lakini akihisi ni ushindani na ni kujishusha kufanya kazi, basi atapata tabu kutoboa kimataifa (he will have to wait, or go thru a longway)..
Diamond na Alikiba, Ndio bonge la kollabo linalotamaniwa na wapenz wa muziki nchini kwa sasa!!!!!!
Nadhani majibu umeyapata kwenye Fiesta jana.
JF leo iko tulivu hakuna kelele.
laki si pesA anawayawaya tu hukooo
mbele hana nyuma kumeharibika tenaa