Diamond ashindwa kupanda Mlima Kilimanjaro, Steve Nyerere azitapika Tsh. Milioni 2

mi nampongeza kwa kujaribu maana mi mwenyewe ni mzaliwa hapo chin ya mlima na cjawah kuupanda. kingine cjaona haja ya kumkejeli mtu aliyejaribu kutimiza ndoto zake akafeli.
 
Hebu panga siku tukapande mkuu. Nistue siku zikikaribia nijipange
 
Nitakuja Kupanda Mlima Kilimanjaro

Nitarudi Kuleta Mrejesho
 
Bado nina wazo la kupanda Mlima Kilimanjaro na WanaJF walioko committed.

Na wote tutatoboa...

Wasanii waliobakia, wajitahidi sana ili watoboe.
[/QUOTE]
ha..ha..ha...pamoja na kuzliwa kilimanjaro lakini na tumbo hili kwakweli sithubutu! mara ya mwisho nilienda kumzika bibi kwenda kusalimia kijiji jirani tu ilikuwa aibu ulimi nje vile vilima vya Rombo sasa itakuwa mlima?
 

Hahaha.
 
Count me in...
 
Na mie niliwahi kuishia njiani! Ile kitu inatakiwa ujiandae vzr!

Next time gonna touch Uhuru peak, the roof of Africa!
 
Jb naskia ndio anaongoza kundi
 
Mondi mbishi sana atarudi tena kuupanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…