nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Mi napanda kila mara na nafika kileleni [emoji23][emoji23]
Na Shira pia...Kuna jumla ya vituo vingapi hadi kufika kilele cha mlima, na je ni siku ngapi zinatumika katika kupanda, halafu kuna tofauti gani kati ya Mawenzi na Kibo.
Na Shira pia...
Kuna jumla ya vituo vingapi hadi kufika kilele cha mlima, na je ni siku ngapi zinatumika katika kupanda, halafu kuna tofauti gani kati ya Mawenzi na Kibo.
HahahahahahahahaAlijua rahisi kama "KUCHANGISHA" michango ya misiba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaahh, nimecheka sana.
Mabaunsa nayo huenda yaligoma njiani baada ya boss kukwama. Hata hayajaamua kumbeba boss juu juu hadi kileleni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaahh, nimecheka sana.
Mabaunsa nayo huenda yaligoma njiani baada ya boss kukwama. Hata hayajaamua kumbeba boss juu juu hadi kileleni
Alikiuka principle
duh!!!Lini Umeona wagonjwa wa UKIMWI wanakua na nguvu kupanda mlima Kilimanjaro.
Aiseee!!!!Angeenda ili nasisi tupate fursa ya kuchangisha rambirambi kwenye msiba wake
Totoz!! ur missed a lot...Na kule si lelemama kama mwili hauko vizuri unaweza rudishwa maiti chini.
Huo mlima hauna cha kutia aibu wala kuukomesha, hakuna umaarufu ama ulofa, unaweza kurudia hata pale TANAPA office Marangu kutokana na afya mbovu ama kukosa mazoezi, ama maandalizi sahihi. Ni suala la uhai na kifo, busara lazima zitumike. Wako walopanda wakafika hadi kileleni lkn wakafia juu. Wapo ambao hawakufika hawakukaribia hata kileleni. Mountain sickness ni hatari.Upo sahihi wanaorudi bila kufika kileleni ni wengi ila hawa wametia aibu kurudia kituo cha kwanza, bora hata wangesogeasogea hadi horombo camp...