Diamond ashindwa kupanda Mlima Kilimanjaro, Steve Nyerere azitapika Tsh. Milioni 2

Diamond ashindwa kupanda Mlima Kilimanjaro, Steve Nyerere azitapika Tsh. Milioni 2

Mzalendo ni nani ni mtu ambaye yuko tayari kufia taifa lake, hawa wote waliorudi si wazalendo! Bora kabisa hata wasinge anza safari, na maneno anayotoa ndio yana discourage kabisa watu naona anawatisha kabisa. Bira hao wengine wamesingizia majukumu yamewazidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaahh, nimecheka sana.

Mabaunsa nayo huenda yaligoma njiani baada ya boss kukwama. Hata hayajaamua kumbeba boss juu juu hadi kileleni
mabaunsa nao si wanakula chips,labda wangekua kama yule character wa ile movie ya avenger
 
Lini Umeona wagonjwa wa UKIMWI wanakua na nguvu kupanda mlima Kilimanjaro.
 
Diamond Kabla hajaanza kupanda mlima Alikuwa ametoka kufika kileleni,sema hapendi shobo kama Kiba.
 
Upo sahihi wanaorudi bila kufika kileleni ni wengi ila hawa wametia aibu kurudia kituo cha kwanza, bora hata wangesogeasogea hadi horombo camp...
Huo mlima hauna cha kutia aibu wala kuukomesha, hakuna umaarufu ama ulofa, unaweza kurudia hata pale TANAPA office Marangu kutokana na afya mbovu ama kukosa mazoezi, ama maandalizi sahihi. Ni suala la uhai na kifo, busara lazima zitumike. Wako walopanda wakafika hadi kileleni lkn wakafia juu. Wapo ambao hawakufika hawakukaribia hata kileleni. Mountain sickness ni hatari.
 
Sifa ni zipi zakupanda huo mlima,na ni gharama kiasi gani?
Watu wa wizara ya utalii waweke mambo wazi.
 
Back
Top Bottom