Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka.
Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.
Ambapo sheikh amesema kama uislamu umemshinda aondokee.
Asipangie watu maishaKufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka.
Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.
Ambapo sheikh amesema kama uislamu umemshinda aondokee.
Kwanini yeye shekhe wa majini hajachagua majini au mungu?Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka.
Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.
Ambapo sheikh amesema kama uislamu umemshinda aondokee.
Walati amemesema kupitia videoNawewe ulivyompuuz umechukua habari ya uzushi iliochapishwa na MwanaHabari kule twita unaileta hapa Shekh Sharif mwenyewe kasema ni Uongo hajasema chochote na Kampongeza Sadala kwa kuleta amani ya dini na Kutokomeza Wafia dini kama Mtoa mada
Nawasilisha
Msiseme vibaya mnajua shehe ni wa dini ya mnyaazi hakawii kusoma kiarabu mkajikuta mmegeuka paka hapa
Video iko wapi na majini insta story kasema yupo Kenya kwasasa na iyo habari ni uongoWalati amemesema kupitia video
Hii iliwahi kutokea wapi?Msiseme vibaya mnajua shehe ni wa dini ya mnyaazi hakawii kusoma kiarabu mkajikuta mmegeuka paka hapa