Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka.

Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.

Ambapo sheikh amesema kama uislamu umemshinda aondokee.
Sheikh "MAJINI" !!!
 
Nawewe ulivyompuuz umechukua habari ya uzushi iliochapishwa na MwanaHabari kule twita unaileta hapa Shekh Sharif mwenyewe kasema ni Uongo hajasema chochote na Kampongeza Sadala kwa kuleta amani ya dini na Kutokomeza Wafia dini kama Mtoa mada

Nawasilisha
Sadala ndio nani?
 
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.

NB kwanini waislam mnahangaika na vitu vidogovidogo hivi.

Chanzo: mwanahabari news
 
Swala la imani nalo la kumpangia mtu?Empty set..
 
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.

NB kwanini waislam mnahangaika na vitu vidogovidogo hivi.

Chanzo: mwanahabari news
Njaa ya shehe imekosa subra![emoji56][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom