Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

Hii inaitwa ntoke vip.
Kwani yeye sheikh aitambui biblia kama kitabu kitakatifu?
 
majini hayapendi kabisa Biblia...

huyo Diamond kwanza na huo Uislam wapi na wapi, ni elimu gani ya Uislam inayoruhusu mtu kuimba nyimbo duniya?
Nyimbo gani sio za dunia? Qswida inaimbwa mbinguni? Adhana inaimbwa mbinguni? (utaniambia hizo haziimbwagi😄😄😄)
 
Tupunguze Chuki za dini wakuu..Kwasasa kila mtu anajikuta mwandishi wa Habari kwahiyo ukikutana na habari mtandaoni jaribu kujiuliza mara 10 kumi
Screenshot_20230410-215824_1.jpg
 
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka.

Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.

Ambapo sheikh amesema kama uislamu umemshinda aondokee.
Huyu Sheikh wa wapi?
 
Nimeona mara kibao msikitini kukiwa na Bible huwa wanazitumia kufanya nini?
 
Acha kuwapa lawama waislamu kwasababu ya mtazamo wa mtu mmoja, ulipaswa kusema Sharifu majina hana matatizo, japo hata hata Gwajima ana matatizo
Mbona na ww unasema gwajima ana matatizo
 
Back
Top Bottom