Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Anapakatwa huyo kima mtu anaona sifa anajiita shehe sharif majini. Hawezi kuwa na akili timamuKufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.
NB kwanini waislam mnahangaika na vitu vidogovidogo hivi.
Chanzo: mwanahabari news