Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

Hii inaitwa ntoke vip.
Kwani yeye sheikh aitambui biblia kama kitabu kitakatifu?
 
majini hayapendi kabisa Biblia...

huyo Diamond kwanza na huo Uislam wapi na wapi, ni elimu gani ya Uislam inayoruhusu mtu kuimba nyimbo duniya?
Nyimbo gani sio za dunia? Qswida inaimbwa mbinguni? Adhana inaimbwa mbinguni? (utaniambia hizo haziimbwagi😄😄😄)
 
Huyu Sheikh wa wapi?
 
Waislamu wana matatizo ya akili, mbona hajawahi kumwambia hvy Samia akitoa neno kutoka kwenye biblia.!
Acha kuwapa lawama waislamu kwasababu ya mtazamo wa mtu mmoja, ulipaswa kusema Sharifu majina hana matatizo, japo hata hata Gwajima ana matatizo
 
Nimeona mara kibao msikitini kukiwa na Bible huwa wanazitumia kufanya nini?
 
Acha kuwapa lawama waislamu kwasababu ya mtazamo wa mtu mmoja, ulipaswa kusema Sharifu majina hana matatizo, japo hata hata Gwajima ana matatizo
Mbona na ww unasema gwajima ana matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…