Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

Sheikh "MAJINI" !!!
 
Sadala ndio nani?
 
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.

NB kwanini waislam mnahangaika na vitu vidogovidogo hivi.

Chanzo: mwanahabari news
 
Swala la imani nalo la kumpangia mtu?Empty set..
 
Njaa ya shehe imekosa subra![emoji56][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Diamond anafanya shirki achague moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…