Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

Anapakatwa huyo kima mtu anaona sifa anajiita shehe sharif majini. Hawezi kuwa na akili timamu
 
Wafia dini bwana shehe mwenyewe yupo Kenya na majini yake ila kazushiwa na baadhi ya wapuuzi tu wafia dini dini zenyewe izi zimeletwa na Meli[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Huyo Muhuni mvuta mabange, Mbakaji na tapeli watu, anajiita sheikh mshirikina mkubwa huyu
Kaanza utapeli mabibo na sisi ndio alikuwa anatutuma huyu fala.
Leo amepata wapi ujasili wa kumsema Mond!!??
 
Vipi kuhusu Mzee Makamba?
 
Yaani hadi imani ya mtu tunataka asikilize mitandao! Tuache watu na Imani zao. Kila binadamu kazaliwa mwenyewe na ni nafsi binafsi tusipende kujilinganisha na watu
 
Haleluya Kama Ile singo yake, misalaba shingoni, huyu anapenda ukristu Ila Basi tu.
 
Sheikh Sharifu ni nani katika uislamu ? kwanza huyo Diamond harakati zake nyingi za maasi na kinyume na uislamu.
 
 
Hawa ndugu huwa wanahangaika na vitu vidogo visivyo na tija. Dini hazina hati miliki eti ukiwa dini fulani huwezi kubadili. Kwa kweli hawa ndugu wana ina imani ya ajabu sana na ndio maana si rahisi mtu asiye muumini wa dini hiyo kuingia kwenye majumba yao ya kuabudia, tofauti na upande ule utaingia na kukaribishwa kwa heshima na furaha, ukitaka kuhamia sawa, kama unapita tu nako sawa utakaribishwa tena. Hakuna utisho watu wana nyuso za furaha na angavu. Bibla haina utisho kiasi cha kuogopwa kama kila kitabu kingine wanakijua wachache. Kila mtu anapaswa kusoma biblia na kuijua kweli
 
Ila jamani Mungu si mmoja..... Hili nalo mkalitazame
 
Bakhresa ni mfanyabiashara pia lakini ni muumini wa dini mzuri sanaa... Vijana acheni kujisahau na maisha ya dunia, kuna kesho akhera hukoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…