Inabidi u Auto search upya itatokeaaaMbn kwangu sioni au adi usachi
Kwahiyo startv nayo ni hd mkuu?..becouse nayo ipo dstvDstv ni full HD
Kwelii mkuu nimeprove hapaInabidi u Auto search upya itatokeaaa
Ipo kweli ww baba swalehe. .Fools day
Anhaa kwel unajua Leo siamin habar yeyoteIpo kweli ww baba swalehe. .
Nenda kafanye Autosearch utaona inajiupdate.
Tunawaomba picha zenye maadili kwa taifaNaiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122. Ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.
Mmechagua vyema kuweka ktk decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.
Nawatabiri makubwa zaidi!
HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!
Yaani hapa jamaa anapiga nyimbo zote za Abdukiba hadi za boss wenu Allikiba. Anasema Tv ya wote..@ chawoteTunawaomba picha zenye maadili kwa taifa
Isije,tuwekea miss fulani na msawanda wake tutaitupa kureeeeeeYaani hapa jamaa anapiga nyimbo zote za Abdukiba hadi za boss wenu Allikiba. Anasema Tv ya wote..@ chawote
Hii tabia ya kuweka picha za miguu yenu mnatuharibia mood za kucomment kwa busara. Mwingine kassimneema.Hongera kwao
Je ipo kwenye star time?Hongera kwao
DohHii tabia ya kuweka picha za miguu yenu mnatuharibia mood za kucomment kwa busara. Mwingine kassimneema.
Sijui mieJe ipo kwenye star time?
Uliza unijulishee MkuuSijui mie
Muulize mtoa uziUliza unijulishee Mkuu