Eeh sintah na zari wapi na wapi au ndo mbeba mapochi wake, maana hawaendan hat kidog, sintah mswaz sana
Sipati picha muke ya muzungu alivyovimba kwa wivu anatamani zari angekua shoga yakee heheeher
Sinta mwaego umependezaaa na boss lady
Nakuambia na anavyomponda...Mange ana wivu jamani....
Eeh sintah na zari wapi na wapi au ndo mbeba mapochi wake, maana hawaendan hat kidog, sintah mswaz sana
Ngoja aende akalee watoto wanne...., manake watoto washaanza kufananishwa na baba wa kufikia
diamond..., hiyo numer hauna na mie nifanye project. BYE
Kweli sintah ndiye aliyekua anawapiga picha jana...sasa hivi ameshaweka picha zake na Zari jana....ila za diamond hajaweka naona anaogopa michambo....
We wanaendana sanaa kisa niniii khaaaa
Wote wazur ila sintah mswaz n mbea sana atakuwa anamuaribia mwenzie
Hahahaaaaah kwa sinta wewe ndio ZEE LA MICHEPUKO nini???
Hahahahahaaaaaah...
Lol
Yani kama ndo yeye huyo zee la michepuko ana mashushu
sintah na zari wanafanana
ahahhahahaHivi huyu Billionare hawezi kutoa nyimbo mpaka kuwe na mwanamke wa kumpa kick kutafuta attension za watu?
Haya ngoja tumsubili Billionare Le Mutuz leo saa 8 mchana anaitisha press conference kuzungumzia urafiki wa watu.
Made in Tanzania and only in Tanzania.
Hivi huyu Billionare hawezi kutoa nyimbo mpaka kuwe na mwanamke wa kumpa kick kutafuta attension za watu?
Haya ngoja tumsubili Billionare Le Mutuz leo saa 8 mchana anaitisha press conference kuzungumzia urafiki wa watu.
Made in Tanzania and only in Tanzania.
Wanafanana nini jamani?Zari mzuri kama nini....hiyo make up ya sintah nimecheka balaa..
Kwani hela katoa wapi??
So alikuaga punda akazimeki.za kutosha yeye na mumewe then wakainvest kwenye real estates sasa wamestaafu na wamevurugana na mumewe kamuolea mke mdogo bibie vimemshinda so wamegawana pasu kwa pasu na amebaki na watoto anaendeleza biashara zake zikiwemo mabotique kadhaa pale Pretoria pia ni mmoja wa wamiliki wa Boston Universities
naskia anapenda dogo dogo hatarii