Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Mhhhhh...hapa kuna ligi inanukia,ngoja nijiandae kuifuatilia vyema....
 
Kweli wamependeza! vipi safari ya kwenda miss world mwakani umeshaanza maandalizi? nafanya mpango Dai na Zari wakusindikize.

Miss World anaenda MNYARWANDA LILIAN....!
 
lakini jamani mbebs mkaree balaa.juu ya kuzaa watoto wake 3, analipa ile mbaya.sura mashallah,na figure anayo.hela anazo,hategemei kuhongwa
Hana hela huyo,anategemea za mme wake atoe child support na yeye ndo anapatia mo.
 
hahahahaha dina bana.hivi hilo neno dangote lina maana gani ?maana kila siku nalisikia sijui maana yake

Dangote ni jina la utani la Daimond huyo Dangote ni jina halisi la bilionea wa Nigeria
 
  • Thanks
Reactions: Mpu
Huonagi notification mi nilidhan umepatwa majanga

Ebu usinichekeshe mie, ina maana wewe na Mrembo by Nature hamkujua kama nilipewa BAN? Siku ya nne leo binamu, yan mdomo huu, niliandika tusi kwenye ule uzi wa sheta nashangaa nikalimwa ban, yan sina hamu, nishazoea kule kwa sintah natukana mpaka basi, ndo ivyo binamu, nilikiwa kifungon, mie warumi nilivyikuwa mbea nikae siku zote kimya si nitaumwa presha??
 
Last edited by a moderator:

Sikujuaa binam wala sikuangaliaaa kama una ban poyeeeeeeeeeeeeeee,,mi nilijua umepumzika tu au umeibiwa simuuu
 
Last edited by a moderator:
Ebu usinichekeshe mie, ina maana wewe na Mrembo by Nature hamkujua kama nilipewa BAN? Siku ya nne leo binamu, yan mdomo huu, niliandika tusi kwenye ule uzi wa sheta nashangaa nikalimwa ban, yan sina hamu, nishazoea kule kwa sintah natukana mpaka basi, ndo ivyo binamu, nilikiwa kifungon, mie warumi nilivyikuwa mbea nikae siku zote kimya si nitaumwa presha??

Hahahaaaaah kwa sinta wewe ndio ZEE LA MICHEPUKO nini???
 
Last edited by a moderator:
Ebu usinichekeshe mie, ina maana wewe na Mrembo by Nature hamkujua kama nilipewa BAN? Siku ya nne leo binamu, yan mdomo huu, niliandika tusi kwenye ule uzi wa sheta nashangaa nikalimwa ban, yan sina hamu, nishazoea kule kwa sintah natukana mpaka basi, ndo ivyo binamu, nilikiwa kifungon, mie warumi nilivyikuwa mbea nikae siku zote kimya si nitaumwa presha??

Pole,nilidhani unashughulikia talaka, karibu tena.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom