Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Kina Elton John Naona Wamejazana Humu Kumtetea Mwenzao.Mimi Nawaomba Kabla Ya Kumtabiria Mtu Anguko Kazi Ambayo Mmekuwa Mkiifanya Kwa Miaka 6 Sasa.JITABIRIENI BASI NA NINYI KUWA MTAKUWA MABILLIGATES BAADA YA MIAKA 5.HUMU DIMPOZ MIJITU ILIMTUKANA KIPINDI KILE KASEMA NGWAIR MASIKINI, LEO WANAMTETEA NA USHOGA WAKE.WATU WANAFIKIII.AKILI ZA TEAM KIBA NA BAVICHA ZINAFANANA - AKILI ZIMEBAKI MATUSI,TABIRI NA KUDEKI BARABARA.
 
kama tu Zitto alihakikisha Machali & Kafulila wanaanguka kwenye uchaguzi, itakuwa Mond kwa Ali Kiba?

Tatizo ni watu wa mwisho wa reli ni kudhani wao wanastahili vyote.
 
Wewe usizungumze kauli hzo we kama ewelewi kaa kmya dimpoz yko sahihi au ujasikiliza pnde mbili we pnda nyimbo zake usipenda na roho yke wee wawapiiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Yuko wapi mr nice alijishusha na akapotea.
Acha kutete mjinga mwenzio.
Kwanini ajifiche au aishi kwa uoga kwani kipato chake nichakuomba?
Kipato ni mali tu tumezikuta duniani tutaziacha duniani... Kwa faida yako pia money can't buy you happiness or heal your sorrows pesa huwa hazitoshi hata uwe na makontena ya hela...
 
Namie nashangaa kwani davido na iyanya wameacha kuimba? Si afanye hilo collabo
 
Wanamuziki wa Tanzania, hajulikani aliefanikiwa wala hasiefanikiwa
 
Sina team yoyote ila kwa hizi siku 2 diamond umejishushia hadhi sana.... Halafu si kila afanikiwae huwa ni bless za jah..... Na si kila ambae hajafanikiwa hana bless za jah na haistahili kumbeza.... Mtoaji ni mungu alie hai
Illuminate cku zote huwa wanaamini katika miungu yao na sio Mungu maana diamond anaongea hivi kwa kujiamin
 
Dada yangu hebu weka akiba ya maneno kidogo basi, anakwambia kwa Davido yeye alkuwa anatoa dola 3000 mkubwa katoa elfu tano hapo definitely huyu bwana thamani imepanda, sasa unajua vipi kama ile ndo ilkuwa senti yake ya mwisho?? Na it seems kama mwana he knew this... Hapa lazma hata km ni ww ujisikie vibaya, hii can be the same applied kwa Iyanya. Na kuhusu suala la kuwasaini akina Rich n co. sio bure hyo ni biashara na kuna mtonyo anapiga pale so sio km uthibitisho wa roho safi na kujitolea fursa ile. Anyways hatuyajui mengi nyuma ya pazia ila naomba tu next time usitumie hoja nyepesi kutoa hitimisho ktk masuala mazito na nyeti
 
Wewe akili huna Inaonyesha Hata vitu unavyonunua huwa hausomi maelekezo vizuri
 
Hawa waha wawili cku hiz wanatk kua kam wamekula vima nilkua namuheshimu mond na nilkua team yake asilimia 75 na kiba 25 sasa rasmi mimi ni timu kiba originali till now anajishusha sana mbna mwenzie hana makuu
Karibu sana team mziki mzuri, Vita kiti ukae, unakunywa kinywaji gani
 
Katukanwa wapi?? Na nan?? Una ushahidi?? Diamond na uswahili ule ni MTU wa kunyamazaa?? U can't be serious
 
Jamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.

Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss

cc Chinga One chige The bold
 
HV huyo rich unamuona ndo rich wa follow me?? Marry me?? Pacha Wang?? Hapana aisee anguko la mavoko naliona soon
 
Diamond anasahau kuwa hata shetan pia anaweza kumfanikisha mtu, asisingizie mafanikio yake ni mungu, maana matendo yke sio ya mtu aliyebRikiwa na mungu, akumbuke kuna mungu, asilewe umaarufi
 
Diamond anasahau kuwa hata shetan pia anaweza kumfanikisha mtu, asisingizie mafanikio yake ni mungu, maana matendo yke sio ya mtu aliyebRikiwa na mungu, akumbuke kuna mungu, asilewe umaarufi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…