Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Unaweza ukawa mjanja duniani ahela ukaenda kuwa zoba.
 
Sasa MTU kama we bora ukae kmya,sio kwamba alishindwa kutoa pesa ila kwa nn diamond apandishe dau wakat dimpoz alikuwa ashaweka dau lake isitoshe ni washkaj waliokuwa wameshibana
 
wataanzisha uzi kesho wa kumponda ommy mstaarabu
 
Leo mie kimyaa!! Nausoma mchezo tuu!!ninajikumbusha kuwa mvua ikinyesha huwanyeshea wema na wabaya pia,nikiongea sana nitaharibu.asante
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Diamond anasahau kuwa hata shetan pia anaweza kumfanikisha mtu, asisingizie mafanikio yake ni mungu, maana matendo yke sio ya mtu aliyebRikiwa na mungu, akumbuke kuna mungu, asilewe umaarufi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu hii issue imekuibua pangoni!
Si mchezo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu hii issue imekuibua pangoni!
Si mchezo.
Domo kapanic sana mpaka anamtolea mwenzie maneno makali, hata kama ni kweli ommy anapumuliwa ni yeye, kuna kitu kinamuuma sana domo, sijui anaumia na nn wkat amefanikiwa kuliko ommy, IPO siku tutajua ukweli

Tatizo sio ommy kupumuliwa, domo Ana la moyoni hatak kulitoa tu
 
Leo Clouds wanachochea bifu la mondi na dimpoz, hili bifu likikolea haohao clouds watajifanya wanataka kuziondoa tofauti zao, Hii clouds hii
 
huyu Domo ndo atakuwa anapumuliwa yeye kwanini ametoboa pua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…