Don Billionea
Senior Member
- Jul 15, 2018
- 152
- 204
Kwan anasaidia mara ngapi.. Ata hao watoto wanaoenda uko SA wanafunguliwa Bima pia wanapewa mtonyo..Hizo pesa bora anesaidia wasiojiweza ,a birthday kwa mtoto haina maana zaidi ya keki na juice na vizawadi vidogovidogo.
Huyu Jamaa Anaakili Sana Sema Maujinga Yake ya Kwenye Mitandao Ndio Yanamuharibiaga YaniDiamond: Nafkiri ili kuwatendea haki Watoto, ni vyema pia Kuongeza Tickets zingine 10 Maalum kwajili ya Watoto tu, wakiambatana na wazazi wao...nao Kwenda South Africa kufurahia Miaka mi 3 ya uzaliwa wa Rafiki yao Mpendwa @princess_tiffah ... Hivi Unafikiri ni Benki gani haswa ni Sawia Yenye Akaunti ya Watoto na ina Upendo wa Dhati kwa watoto..ili kupitia @gsmtravelandtourstuwape dhamana hii ya wao Kushughurikia kusafiri kwa watoto hao na Ukaaji wao wote kwa weekend nzima ya Birthday ya @princess_tiffah South Africa , Ambayo pia itakuwa inaruka live pitia @wasafitv ....lakini pia kabla ya watoto hao Kusafiri Ntawafungulia akaunti kwenye Benki hio na Kuwaekea shilingi laki Mbili (2) pamoja na Bima ya Afya kwa kila mmoja.......
najua unajiuliza Wewe au Mwanao anawezaje kuwa miongoni mwao Usijali ntakujuza, kwanza niambie BENKI Gani?..
[HASHTAG]#TiffahDangote[/HASHTAG] [HASHTAG]#TiffahsBirthday[/HASHTAG][HASHTAG]#TeePlatnumz[/HASHTAG] @gsmtravelandtours@danubehome
Le mobimba...Le kibamia
πππππKwani ukiwa na akili za kitoto unapoteza sifa ya kuwa mtoto? Nadhani anastahili.
Huyu mpaka apate tezi dume ndio atautambuwa umri wake, tezi dume uwapata wanaume wenye umri kuanzia miaka 50. Ni hiki tu ndio itakuwa wake up call kwa Le nyenyenye.
Angewalipia ada ingependeza zaidi.Nimeiona instagram, Diamond ametoa offer ya watoto 10 wakiambatana na wazazi wao kwenda kujumuika na Latifa katika sherehe yake ya kutimiza miaka mitatu ya kuzaliwa.
Ninahisi mmoja wa watoto atakuwa Taraji akiambatana na wazazi wake Petit man Wakuache pamoja na Esma Platnums.
tell them bit.ches.....Umaskini wako usisababishe kupangia watu do n dots, Manji na Mo dewji pesa zao wanazimwaga kwenye mpira kwa nini msiwashauri hao? Kenge nyinyi.