Dah, na ww una imani hizo ?asije akaenda kuwatoa kafara watoto wa watu huko SA tukaja kupewa sababu mbalimbali ili ionekane ni mpango wa mungu.
watu maarufu na wenye mafanikio wa level kama ya diamond wana mambo mengi ya siri nyuma ya pazia juu ya kufanikiwa kwao.
yangu ni hayo.
Mkuu yako yawe macho ni kheriasije akaenda kuwatoa kafara watoto wa watu huko SA tukaja kupewa sababu mbalimbali ili ionekane ni mpango wa mungu.
watu maarufu na wenye mafanikio wa level kama ya diamond wana mambo mengi ya siri nyuma ya pazia juu ya kufanikiwa kwao.
yangu ni hayo.
Nilijua ni mimi tu ndo nimeliona hilo daah kumbe na wewe umeng'amua....huyu bint ni genious sana hata ongea yake tu inaonyesha ana kitu cha ziada...she should be given specially treatment may be kanaweza kuja kuwa hadhina ya nchi yetu km wasipomuaharibu watoto wa kihuni km baba yke anavyowafanya watoto wa wenzake.Huyo tifaa sijui ni malezi au nature,, kanaonekana ni Bright sana
Unataka kusema kuwa kila mla cha wenzake na chake pia huliwa!!!!!Nilijua ni mimi tu ndo nimeliona hilo daah kumbe na wewe umeng'amua....huyu bint ni genious sana hata ongea yake tu inaonyesha ana kitu cha ziada...she should be given specially treatment may be kanaweza kuja kuwa hadhina ya nchi yetu km wasipomuaharibu watoto wa kihuni km baba yke anavyowafanya watoto wa wenzake.
kazaliwa na lugha,Huyo tifaa sijui ni malezi au nature,, kanaonekana ni Bright sana
Huyo mtoto huwa namwangalia, jinsi alivyo namtabiria atakuja kufika mbani sana kielimu, ana uwezo mkubwa sana kiakiliHuyo tifaa sijui ni malezi au nature,, kanaonekana ni Bright sana
Watoto wenu mnawaadhibu kwa fimbo na matusi kila saa wataacha kudumaa kiakili! Halafu unakuta kucheza wanacheza wenyewe vichochoro! Huyu mnasema ana kitu cha ziada inaonyesha ushamba flani. Siyo kosa lenu lakini ila hamjatembelea duniani muone. Nchi zilizoendelea asilimia kubwa ya watoto ni zaidi ya huyu i.e. wadadisi, wana akili wanajiamini na wanaongea kama watu wazima! Hakuna cha ajabu hapo bali ni malezi na mazingira mazuri wanayokulia. Hata chekechea wanakosoma wanafundishwa vitu vya kukuza na kupanua akili. Huku kwetu akiingia kwenye daladala anakutana na matusi na mziki wa Bongo Flavour akifika nyumbani nako sijui kuna kanga Moko.Nilijua ni mimi tu ndo nimeliona hilo daah kumbe na wewe umeng'amua....huyu bint ni genious sana hata ongea yake tu inaonyesha ana kitu cha ziada...she should be given specially treatment may be kanaweza kuja kuwa hadhina ya nchi yetu km wasipomuaharibu watoto wa kihuni km baba yke anavyowafanya watoto wa wenzake.
acha ujinga wewe nani mshamba?....mbona Le mutuz kalelewa kishua but ndo hivyo tena....Watoto wenu mnawaadhibu kwa fimbo na matusi kila saa wataacha kudumaa kiakili! Halafu unakuta kucheza wanacheza wenyewe vichochoro! Huyu mnasema ana kitu cha ziada inaonyesha ushamba flani. Siyo kosa lenu lakini ila hamjatembelea duniani muone. Nchi zilizoendelea asilimia kubwa ya watoto ni zaidi ya huyu i.e. wadadisi, wana akili wanajiamini na wanaongea kama watu wazima! Hakuna cha ajabu hapo bali ni malezi na mazingira mazuri wanayokulia. Hata chekechea wanakosoma wanafundishwa vitu vya kukuza na kupanua akili. Huku kwetu akiingia kwenye daladala anakutana na matusi na mziki wa Bongo Flavour akifika nyumbani nako sijui kuna kanga Moko.
Noo,,sio lugha, sasa lugha si ndo kilugha Chao,,, ni jinsi tu anavoact,kuongea,nk. kila kitu,,ni km mkubwa,nadhani ni ubright na malezikazaliwa na lugha,
siafadhali hirizi "",inanafuu " hapo ni" mwendo wakuwa ",bebesha "",sembe"wakawabebeshe mahirizi yao
hahaaaa "", true"" ijpokuwa " wata panic kwakuitwa"" washamba""Watoto wenu mnawaadhibu kwa fimbo na matusi kila saa wataacha kudumaa kiakili! Halafu unakuta kucheza wanacheza wenyewe vichochoro! Huyu mnasema ana kitu cha ziada inaonyesha ushamba flani. Siyo kosa lenu lakini ila hamjatembelea duniani muone. Nchi zilizoendelea asilimia kubwa ya watoto ni zaidi ya huyu i.e. wadadisi, wana akili wanajiamini na wanaongea kama watu wazima! Hakuna cha ajabu hapo bali ni malezi na mazingira mazuri wanayokulia. Hata chekechea wanakosoma wanafundishwa vitu vya kukuza na kupanua akili. Huku kwetu akiingia kwenye daladala anakutana na matusi na mziki wa Bongo Flavour akifika nyumbani nako sijui kuna kanga Moko.
Analelewa inavyotakiwa.Huyo mtoto huwa namwangalia, jinsi alivyo namtabiria atakuja kufika mbani sana kielimu, ana uwezo mkubwa sana kiakili
Na malezi yanachangia
Utaratibu wa maombi tafadhari.
nimefurah kukuona dada Faiza Foxy= tafadhali
Hahaha we jamaa umefanya nipaliwe kachaso yanguUsishangae kumuona Le Mutuz akichukua nafasi ya mtoto mmoja