Diamond atoa ofa ya watoto 10 kwenda South Africa kwenye Birthday ya Tiffa

asije akaenda kuwatoa kafara watoto wa watu huko SA tukaja kupewa sababu mbalimbali ili ionekane ni mpango wa mungu.

watu maarufu na wenye mafanikio wa level kama ya diamond wana mambo mengi ya siri nyuma ya pazia juu ya kufanikiwa kwao.
yangu ni hayo.
Dah, na ww una imani hizo ?
 
asije akaenda kuwatoa kafara watoto wa watu huko SA tukaja kupewa sababu mbalimbali ili ionekane ni mpango wa mungu.

watu maarufu na wenye mafanikio wa level kama ya diamond wana mambo mengi ya siri nyuma ya pazia juu ya kufanikiwa kwao.
yangu ni hayo.
Mkuu yako yawe macho ni kheri
 
Huyo tifaa sijui ni malezi au nature,, kanaonekana ni Bright sana
Nilijua ni mimi tu ndo nimeliona hilo daah kumbe na wewe umeng'amua....huyu bint ni genious sana hata ongea yake tu inaonyesha ana kitu cha ziada...she should be given specially treatment may be kanaweza kuja kuwa hadhina ya nchi yetu km wasipomuaharibu watoto wa kihuni km baba yke anavyowafanya watoto wa wenzake.
 
Unataka kusema kuwa kila mla cha wenzake na chake pia huliwa!!!!!
 
Nilijua ni mimi tu ndo nimeliona hilo daah kumbe na wewe umeng'amua....huyu bint ni genious sana hata ongea yake tu inaonyesha ana kitu cha ziada...she should be given specially treatment may be kanaweza kuja kuwa hadhina ya nchi yetu km wasipomuaharibu watoto wa kihuni km baba yke anavyowafanya watoto wa wenzake.
Watoto wenu mnawaadhibu kwa fimbo na matusi kila saa wataacha kudumaa kiakili! Halafu unakuta kucheza wanacheza wenyewe vichochoro! Huyu mnasema ana kitu cha ziada inaonyesha ushamba flani. Siyo kosa lenu lakini ila hamjatembelea duniani muone. Nchi zilizoendelea asilimia kubwa ya watoto ni zaidi ya huyu i.e. wadadisi, wana akili wanajiamini na wanaongea kama watu wazima! Hakuna cha ajabu hapo bali ni malezi na mazingira mazuri wanayokulia. Hata chekechea wanakosoma wanafundishwa vitu vya kukuza na kupanua akili. Huku kwetu akiingia kwenye daladala anakutana na matusi na mziki wa Bongo Flavour akifika nyumbani nako sijui kuna kanga Moko.
 
acha ujinga wewe nani mshamba?....mbona Le mutuz kalelewa kishua but ndo hivyo tena....
 
Watoto wenu mnawaadhibu kwa fimbo na matusi kila saa wataacha kudumaa kiakili! Halafu unakuta kucheza wanacheza wenyewe vichochoro! Huyu mnasema ana kitu cha ziada inaonyesha ushamba flani. Siyo kosa lenu lakini ila hamjatembelea duniani muone. Nchi zilizoendelea asilimia kubwa ya watoto ni zaidi ya huyu i.e. wadadisi, wana akili wanajiamini na wanaongea kama watu wazima! Hakuna cha ajabu hapo bali ni malezi na mazingira mazuri wanayokulia. Hata chekechea wanakosoma wanafundishwa vitu vya kukuza na kupanua akili. Huku kwetu akiingia kwenye daladala anakutana na matusi na mziki wa Bongo Flavour akifika nyumbani nako sijui kuna kanga Moko.
hahaaaa "", true"" ijpokuwa " wata panic kwakuitwa"" washamba""
 
Kuvimba.
Zari hajakaribisha mtu, safari imeandaliwa na gsm watapangiwa kila kitu.
Na ni 30 sio 10 nyongeza jumla 40 na wazazi wao 120.
Tecno
Wizkid
Davido
Peter square
Hawajawahi fanya huu ubwege, hawana hela
 
Huyo mtoto huwa namwangalia, jinsi alivyo namtabiria atakuja kufika mbani sana kielimu, ana uwezo mkubwa sana kiakili

Na malezi yanachangia
Analelewa inavyotakiwa.
Fikiria angeishi huko madale na esma na mama dangote tungekuta tayari anachezeshwa kiduku.
 
Umepotea sana Dada yangu
Karibu tena jamii forum ilirudi hewani ukhuty

Kuna kipindi ulishika hatamu sana
 
Back
Top Bottom