Diamond atoa ofa ya watoto 10 kwenda South Africa kwenye Birthday ya Tiffa


miafrika ndivyo tulivyo mkuu yani tunadhani mtoto anafundishika kwa fimbo na matusi eti. wenzetu hata kofi la shavu hawalijui ni maneno mtu anaelewa.
 
Umepotea sana Dada yangu
Karibu tena jamii forum ilirudi hewani ukhuty

Kuna kipindi ulishika hatamu sana
nashukur sana mdogo wangu nipo japo sio sana tukionana kama hivi basi tunazidi kushukuru MUNGU kwa kweli nafurahia uwepo wako
 
kiki za mda mfupi. kaona USA show imebuma watu wanaingia kumcheki kwa dola 4 had 5 (elfu 600 au 8 ya kibongo)...kaona ibukie sauzi na watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…