Diamond atoa ofa ya watoto 10 kwenda South Africa kwenye Birthday ya Tiffa

Diamond atoa ofa ya watoto 10 kwenda South Africa kwenye Birthday ya Tiffa

Watoto wenu mnawaadhibu kwa fimbo na matusi kila saa wataacha kudumaa kiakili! Halafu unakuta kucheza wanacheza wenyewe vichochoro! Huyu mnasema ana kitu cha ziada inaonyesha ushamba flani. Siyo kosa lenu lakini ila hamjatembelea duniani muone. Nchi zilizoendelea asilimia kubwa ya watoto ni zaidi ya huyu i.e. wadadisi, wana akili wanajiamini na wanaongea kama watu wazima! Hakuna cha ajabu hapo bali ni malezi na mazingira mazuri wanayokulia. Hata chekechea wanakosoma wanafundishwa vitu vya kukuza na kupanua akili. Huku kwetu akiingia kwenye daladala anakutana na matusi na mziki wa Bongo Flavour akifika nyumbani nako sijui kuna kanga Moko.

miafrika ndivyo tulivyo mkuu yani tunadhani mtoto anafundishika kwa fimbo na matusi eti. wenzetu hata kofi la shavu hawalijui ni maneno mtu anaelewa.
 
kiki za mda mfupi. kaona USA show imebuma watu wanaingia kumcheki kwa dola 4 had 5 (elfu 600 au 8 ya kibongo)...kaona ibukie sauzi na watoto.
 
Back
Top Bottom