Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe



Sasa sisi inatuhusu nini watafunane wote hata huyo shatani amtafune Ndomo
 
Huo mzigo baba qayla hauwezi, sio kwa tuhuma za kutifuliwa tope na chief kiumbe
 
Ukiingia Instagram katika profile ya Queendarleen ambae anatumia username Queendarleen4real, kuna picha aliwahi kuPost amepiga yeye na Diamond na Shetta. Ni moja kati ya picha za nyuma nafkiri mwezi January mwaka huu. Kuna demu Mkenya hapo katika comment ya mwisho ameComment kwa kumwambia Queendarleen kuwa amwambie Shetta wamalize tofauti zao na awache kumhepa la sivyo atamExpose kwa kitu cha aibu. Anasema atamExpose yeye na jamaa flani anaitwa Shayzshamim wakiwa pamoja na ana ushahidi wa kutosha. Sijajua huyu dem anajuana vipi na Shetta na kwanini Shetta anamhepa na sijajua ni kitu gani but inakaa ni kitu cha aibu sana. Inaonekana kuna mambo yamejificha zaidi. Mungu saidia Shetta.
 
Haaaaaa wanaume wa Dar katika ubora wao lols.....
umbea hapa mjini ..unaraha take ni kama kushangilia soccer.. Acheni kutuandama bwaana.. do you know swagz???? hakika hamzijui ndo maanaa mnazihirisha ushamba..
 
umbea hapa mjini ..unaraha take ni kama kushangilia soccer.. Acheni kutuandama bwaana.. do you know swagz???? hakika hamzijui ndo maanaa mnazihirisha ushamba..
swag.....!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…