Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Attachments

  • 1459533176041.jpg
    1459533176041.jpg
    47.3 KB · Views: 141
Kwel sheta kabakisha picha moja tu...yeye na ney..mkeo anatumia jina gani IG?
 
hahahaa! kama namuona schoolmate wangu na sura km mzee KOVA

all in all kutafuniwa mke inama vibaya mno
 
Yule bint ni mrembo mno namjua sijui hata nimfananishe na nani urembo wake na naijua familia yake . Walipinga sana kuolewa na sheta bint wawatu akaacha chuo ifm mapenzi yalimkolea akaaribu career yake.



Hamfikii dem wangu kwa kweli wangu ndio wa ukweeeeeeeeeli
 
hahahaa! kama namuona schoolmate wangu na sura km mzee KOVA

all in all kutafuniwa mke inama vibaya mno
Taarifa zimfikie Ney wa mitego.." Zee la my new ride"
 
Namkubali Kiba kwa kula Gigy Money, babu kafuta kalio, Kiba mbayaaaa.
 
Wanaume wa Dar.

Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke.

Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka kufuta picha zote alizoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram lakini akajistukia watu watauliza kulikoni. Alichofanya ni kufuta picha zake zote kwenye akaunti yake ya Instagram na kuanza upya kupost.

Kwa wale wambea na wanaume wa Dar unaweza kucheki kwenye akaunti ya Shetta na kushuhudia video moja ya Shetta. Pia mama Qayllah kwenye profile ameweka picha ya Diamond na Qayllah.

Hayo ndio yaliyojiri kwenye ''You Heard''
Mwee
 
hii ni kick tu kama kick nyengine town...shetta yupo njiani kutemesha mzigo mpya,so anaandaa attention za audience kwanza!tusubir tuone.
 
Back
Top Bottom