Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mi mbona diamond namkubali siwezi mrushia makopo yule nawapenda wote ila kiba ndo saaanaa#good music

Safi sn me pia niikuwa namuelewa kiba wa zamani kesho tusikilize xxl clouds FM wana review album ya kiba Cinderella
 
kwanza ni unafiki kuwa na mwezi mmoja mtukufu katika mwaka mmoja.

mkuu mambo ya imani hayaingiliwi je huoni kuwa unamakosa hapo kwa dharau dini nyingine au unataka ban kinguvu ngoja!
 
Diamond ana jielewa ww huyu mb Dogg alidhulumiwa lini mbona alirudi kuomba kurudi kwa tale km alikuwa Ana dhulumiwa

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ karudi wapi acha uongo mb dog na q chief wapo kwa qsj mounder ndo manager wao ye na q chief wale matapeli labda marehemu abdu bonge r i p ila wale ni matapeli
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ karudi wapi acha uongo mb dog na q chief wapo kwa qsj mounder ndo manager wao ye na q chief wale matapeli labda marehemu abdu bonge r i p ila wale ni matapeli

Mb Dogg akirudi umesahau ule wimbo wake shemeji cjui hadi mwishoni anasema tale am sorry abdu bonge am sorry
 
Safi sn me pia niikuwa namuelewa kiba wa zamani kesho tusikilize xxl clouds FM wana review album ya kiba Cinderella

:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
Sasa kama unaenda kutingisha na kukata mauno umefunga ya nini

kabla ya hilo ilitakiwa uwekee shaka uislam wa wanamuziki wote unaowafahamu... ndio maana nimesema imani aachiwe kila mmoja wetu...

Coz sidhani kama Mungu unaomuabudu anakuruhusu kutumia pesa ununue simu uje kujadiliana huku jf, wakati kunawatu kibao hata pesa ya kula hawana JE UNAONA WEWE KUMILIKI KIMEO NI BORA KULIKO WAO?? SHERIA GANI YA DINI INASEMA UJITHAMINI NA MAMBO YA KIDUNIA KULIKO WENZAKO???

fanya fasta uza vyote unavyomilki vya thamani share na wasio jiweza uende mbinguni sio kwakujifanya shekhe hapa kwa kuongea shudu lako
 
we unaona yupo serious mwaka huu ndo anaanza kufanya mziki rasmi nyimbo mbili za kiba na 15 za diamond we huoni utofauti hapo

lazima tofauti iwepo mwingine msanii wa kimataifa anayeng'ara vilivyo mwingine ndio kwanza anaanza safari ya kuchezwa video trace..

Mwingine analipwa m10 mwingine m60 japokuwa wanaperform jukwaa moja

Mwngine anashow nyingi kupitiliza mwingine za kutaftiza...
 
Reactions: me1

Kwanza ukitaka kuwaona hawa watu ni WANAFIKI waliopitiliza mbona hawamsema kingkiba ambae yuko Coke Studio na ramdhani hii?!

Kule COKE STUDIO wanasoma Quran na kutia Uradi pamoja na kukesha usiku wa Laylatul-qadir si ndio???tena anaimba na kucheza na wanawake kila siku lakini kwa kua wao ndio wakamilifu na hawana dhambi wameufyata mkia kimyaaa!!

Unafiki ukizidi sana unazaa ujinga na umasikini!!
Singida tumamaliza tunasonga mbele!!!!hapo VEPEEEEEEEE??????
 

Attachments

  • 1436381041092.jpg
    68.7 KB · Views: 218
Safi sn me pia niikuwa namuelewa kiba wa zamani kesho tusikilize xxl clouds FM wana review album ya kiba Cinderella

Vizuri napenda hali kama hii mie sijawahi kumchukia hata mmoja nahisi nafaidi kuliko waliojigawa
 

Mungu hubaki kua Mungu akisema hiki ni dhambi jua ni dhambi na adhabu yake ipo wala habdilishi, sasa ni juu yako kuchunguza au usichunguze ipi dhambi lakn pamoja na kujifariji kwetu huko et ooh kila ki2 tukichunguza n dhambi mwisho wa siku Mungu anasimamia amri yake. Kwahyo mkuu usijidanganye wala kujifariji njia n moja tu kufuata amri na ndio maana vitabu vinasema watakaoingia mbingun n wachache sana kuliko wale wa moton.
 
Hapo sa umetukanwa??
Kwanza umechaguliwa shule gani advance....ushanunua jembe na mpini???
Mnaenda jkt mwaka huu??

jieshimu ww sawa kila mtu na dili zake uadvance wako peleka hukoo i have already past that stage long time ago ???
 
Namjua ndio n family wa clouds tanga product eeh nipe ubuyu

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ et nipe ubuyu ??? kesho huo ubuyu leo umeisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…