Vizuri napenda hali kama hii mie sijawahi kumchukia hata mmoja nahisi nafaidi kuliko waliojigawa
😀😀😀😀😀😀 et nipe ubuyu ??? kesho huo ubuyu leo umeisha!
lazima tofauti iwepo mwingine msanii wa kimataifa anayeng'ara vilivyo mwingine ndio kwanza anaanza safari ya kuchezwa video trace..
Mwingine analipwa m10 mwingine m60 japokuwa wanaperform jukwaa moja
Mwngine anashow nyingi kupitiliza mwingine za kutaftiza...
jieshimu ww sawa kila mtu na dili zake uadvance wako peleka hukoo i have already past that stage long time ago ???
Kwanza ukitaka kuwaona hawa watu ni WANAFIKI waliopitiliza mbona hawamsema kingkiba ambae yuko Coke Studio na ramdhani hii?!
Kule COKE STUDIO wanasoma Quran na kutia Uradi pamoja na kukesha usiku wa Laylatul-qadir si ndio???tena anaimba na kucheza na wanawake kila siku lakini kwa kua wao ndio wakamilifu na hawana dhambi wameufyata mkia kimyaaa!!
Unafiki ukizidi sana unazaa ujinga na umasikini!!
Singida tumamaliza tunasonga mbele!!!!hapo VEPEEEEEEEE??????View attachment 266642
Lugha ya malkia, (past=passed). Tehe tehe tehe.
Mungu hubaki kua Mungu akisema hiki ni dhambi jua ni dhambi na adhabu yake ipo wala habdilishi, sasa ni juu yako kuchunguza au usichunguze ipi dhambi lakn pamoja na kujifariji kwetu huko et ooh kila ki2 tukichunguza n dhambi mwisho wa siku Mungu anasimamia amri yake. Kwahyo mkuu usijidanganye wala kujifariji njia n moja tu kufuata amri na ndio maana vitabu vinasema watakaoingia mbingun n wachache sana kuliko wale wa moton.
jieshimu ww sawa kila mtu na dili zake uadvance wako peleka hukoo i have already past that stage long time ago ???
mkuu hayo mambo yaacheni ni ya kiimani zaidi kila mtu na maamuzi yake mana mtu atazikwa mwenyewe na atabeba mzigo wake
Kwa Dunia ya Leo Dmond yupo sahihi sana, Maandiko yana sisitiza kufanya kazi halali.
Acha kukariri ndugu... kuna baadhi ya imani hata kwenye misiba yao wanapiga muziki, kwahiyo unataka kusema wanapiga kwa ajili ya anasa? Yaani bado unashindwa kutofautisha kati ya muziki unaopigwa kwa maana ya anasa kama inavyokuwa kwenye ma-disko na muziki unaopigwa kwa ajili ya kuhamasisha watu kama huo wa kwenye mikutano?! But all in all, kama anatenda dhambi or othewise, hudhani hilo ni lake yeye ni Mungu wake?Mziki ni kazi ya anasa,Ndio maana madisco yameajiri watu na yanafungwa ni anasa
Acha kukariri ndugu... kuna baadhi ya imani hata kwenye misiba yao wanapiga muziki, kwahiyo unataka kusema wanapiga kwa ajili ya anasa? Yaani bado unashindwa kutofautisha kati ya muziki unaopigwa kwa maana ya anasa kama inavyokuwa kwenye ma-disko na muziki unaopigwa kwa ajili ya kuhamasisha watu kama huo wa kwenye mikutano?! But all in all, kama anatenda dhambi or othewise, hudhani hilo ni lake yeye ni Mungu wake?
Watu bhana....
Watu walienda pale kwa ajili ya mkutano daimond alikuwa extra kwanza ata watu walikuwa hawajui.
Nashangaa na kwa lowasa watu walijitutumua eti dai kajaza uwanja.
Mpaka mkutano unaanza hamna aliyekuwa anajua kuwa daimond angekuwepo watu tulishangaa tuu mtu huyo so ukumbi ulijaa kwa ajili ya lowasa na sio daimond..
Kick nyingine bhana upuuziii tuu.