binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
teh!teh!teh!teh!ukiwapa madereva waendeshe wanajifanya mara ooh!kuku mmoja aliruka njiani,au utasikia tulikamatwa na traffic tukawapa kuku watano ndio tukaachiwa!!ahahaha yaani majanga!!bora niendeshe mwenyewe na kuwajaza mwenyewe kwenye gari!!!
Na uhakika huna account ya insta kama unayo ungemfollow daimond ungebahatika kuona matangazo ya show week kabla ya tukio na ukumbuke dunia ya leo habar zinasambaa kama upepoWatu bhana....
Watu walienda pale kwa ajili ya mkutano daimond alikuwa extra kwanza ata watu walikuwa hawajui.
Nashangaa na kwa lowasa watu walijitutumua eti dai kajaza uwanja.
Mpaka mkutano unaanza hamna aliyekuwa anajua kuwa daimond angekuwepo watu tulishangaa tuu mtu huyo so ukumbi ulijaa kwa ajili ya lowasa na sio daimond..
Kick nyingine bhana upuuziii tuu.
Na uhakika huna account ya insta kama unayo ungemfollow daimond ungebahatika kuona matangazo ya show week kabla ya tukio na ukumbuke dunia ya leo habar zinasambaa kama upepo
Hivi na kaswida sio muziki?..au we mwenzangu tafsiri ya mziki ni bongo flavour?...acha ubwe....g.e......ile ni kazi na kama ni dini na imani yako peleka kwa wanao coz diamond akujui na wala hamsaidii kutafuta hela chupi....mwache atafute pesa ya kwenda hijja na ww endelea kushinda msikitini ala atafikiria kuja kukufuturisha....
Mwezi mtukufu watu hawafanyi kazi? Diamond yupo kazini na anaingiza pesa.
mfalme wa pop rais wa jamhuri ya bongo flava chibu dangote
Asante mkuu.
Sasa huyo anayejiita wa bukoba sijui alisoma magazeti ya wapi. Kwanza shigongo yupi maana izo habari ziliandikwa kesho yake after mkutano.
Kwa singida sikujua ila nili refer Arusha
Kwa akili hii acha ccm waendelee kututawala... Mungu wa ramadhani tu.
Wewe ni mshabiki mstaarabu sana na mwelewa pia..laity kama mashabiki wenzako wote wa team kiba wagekuwa kama wewe hakika hizi team zingekuwa na manufaa makubwa sana kwenye kuukuza muziki wetu.
Asante mkuu
Thubutuuu!!hajakukuta kwenye Zone yako hakyamungu atatengua hiyo kauli yake!ahahahaa halafu umeitikia kama kweli vile mstaarabu teh teh teh teh
Hahahahaaaaahaaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........
Mbavu zangu jamaniii... umenifanya nicheke kama chiziiii kila mtu ananishangaaaaa....
Wewe unataka kubishana na msema kweli? Itakuwa kanifuatilia sehemu kibao ndo maana kaja kunitunukuuuu.
Hahahaaaaaaaaaaaa
cute b hana noma anaelewa sana situation ilivyo but ni mtu wao sometime anawalostisha cheki hapo chiniWewe ni mshabiki mstaarabu sana na mwelewa pia..laity kama mashabiki wenzako wote wa team kiba wagekuwa kama wewe hakika hizi team zingekuwa na manufaa makubwa sana kwenye kuukuza muziki wetu.