Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

Ebu na wew kwenda uko. Maana ata huelewi kinachoendelea...kwani ni lazma nimfollow? Kwa kifupi nina account na nilimfollow akaniblock kuna kingine?

Kumbe alikublock ndio maana unasema mpaka anaingia pale hakuna aliekua anajua ishu ni kwamba kila mtu alikua anajua diamond atatumbuiza ndio maana wakajazana
 
Hee!jamani ule uzi wa mashabiki wa allykiba wasusuia video ya chekecha umeondolewa au??ahahahahahahahahahaaa!!!watu wanajua kulialia
 
Mwenye mamlaka ya kumuhukumu mtu ni mwenyezi Mungu (S.W.A) pekee.Pia upande wa pili wanasema usihukumu usije ukahukumiwa.
Ni dhambi au sio dhambi tumuachie yey mwenye mamlaka.
Dini ni pana kuliko tunavyozijua.Na mbaya zaid sis tulioletewa hiz dini ndo tunaziishi kuliko hata waliotuletea.
Kwa kuongezea pia,kuna sheria za Dini na Sheria za M/Mungu.Ni busara kupembua hiv vitu.

Ya kaisari aachiwe kaisari.
SAHIHISHO
Allah (S.W)
mtume Muhammad (S. A. W)
 
akili ya kufanya kazi ya WCB president,bado inazid kumpa nguvu ya kutimiza wajibu wake..as z team,a wish him good..?!
 
Back
Top Bottom