Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Msanii wa kizazi kipya, Diamond platnums, amewaomba mashabiki wake kumpokea Airport usiku wa saa nne kesho jumatano kwenye viwanja vya julius k nyerere, akitokea nchini marekani alipoenda kwenye ugawaji wa tuzo za afrimma ambapo msanii huyo alishinda kipengele cha msanii bora africa mashariki.

"Baba ubaya na wewe sasa umetuchoka mashabiki wako, sasa sisi tukae macho hadi saa nne za usiku mpaka uje , sasa ukishakuja ndo nini labda? Yani tukupokee usiku halafu wewe na hao vibaraka wako mpande prado mrudi sinza , aya na sisi wakina abdala msogoti tunarudije kwetu usiku wote huo? Au utatukodishia mabasi ya kuturudisha om? Maana umetuita, Unapenda sifa mwenyewe kiama hadi unaita watu wakupokee? mmh ila utawapata maana kuna mashabiki wako wakikuona had wanajikojolea, mimi unitolee upuuzi wako apa.

Ndio tunajua unataka ufurahi na mashabiki wako, kwani unashindwa kuandaa special event pale leaders na mashabiki wakaja kukupongeza apo tena pakubwa tu, unasumbua watu tena bila aibu eti wakupokee saa nne usiku au ndo unataka kuvunja rekodi airport? Mnataka tu kuwasababishia watoto wa watu matatizo wabakwe uko na kuibiwa ndo ufurahi, mwenyew huyo unarud kwako na usafiri wako unawaacha wenzio wakihangaika na usafir au utawalipa? Apo utataka watu wakusindikize kwa miguu toka airport hadi kwako, wewe unapigwa na Ac wenzio wanapiga mguu, na utawapata wapo wengi tu ma jobless watakuja kukupokea".

Na bora umewaambia mapema maana kuna watu watatoka morogoro,kimbiji na mikoa yote watakuja kukupokea airport, maana kuna watu wana ndoto japo tu wakuone super star wao, sasa ndo uandae na guest wenzio walale maana si unapenda sifa ulipe na gharama , aya nadhani ujumbe wameupata.
Ameshafika kwenye saa 2.20. Ila mashabiki walikuwa kiduchu.
 
Mungu wangu apa hakuna mtu, ivi wewe iko kichwa chako kizima au kina minyoo? Aliyesema ndomo anafika airport saa mbili nani? Wewe hakyamungu ni tahira wa haja

Mimi nime post ndomo anakuja kesho saa nne usiku kawaambia mashabiki wake wakampokee airport, sasa huu utumbo wako wa sijui canada mara ndege gan inaruka mkund*uni sasa hayo yote unaniuliza ya nini? Wewe ni kilaza sijawahi kuona , yani wewe ni mjinga mpaka unaniudhi, Damn you

unajichosha na wehu hao. Achana nao viazi hao
 
unajuwa Turkish airways inaingia saa ngapi? wewe umezoea kupokea watu ratiba za ndege tuulize wasafiri.

Inawezekana we dreva wa taxi pale airport ndo maana unajua ratiba za ndege zote, za Uturuki, za Lusaka, za Comoro etc.
Mi nasafiri sana tu, wala hiyo isikusumbue.
 
mbona diamond yuko na tuzo moja tu..... na ndio hiyo kaishikilia tuko kwenye msafara maeneo ya Buguruni sasa
 
Nimeshaiona, ma haters tunasubir tu tuone atakavyovunja rekodi ya kupokelewa na watu wengi kuliko hata OBAMA.

ngoja waende kuibiwa mitaa yenyewe ile ya watoto wa mbwa mwitu pumbavu
wanacheza na maeneo yale kuanzia kipawa,kiwalani,vingunguti yote ya watoto wa mbwa ile
 
Inawezekana we dreva wa taxi pale airport ndo maana unajua ratiba za ndege zote, za Uturuki, za Lusaka, za Comoro etc.
Mi nasafiri sana tu, wala hiyo isikusumbue.

Hata ningekuwa taxi driver nisingejuwa exctly turkish airways inaingia saa napi kwa sababu matax driver pale wakishapata abiria wa KLM huwa hawarudi tena kwa kifupi last flight ni KLM.

Sasa kuna hizi nyingine wewe huzijui za usiku mkubwa, Kulula airways cheap flight ya kwenda Johanesburg, KQ ya kukupeleka Nairobi to connect ur flight to your destination. Haya kula kulala kama wewe huwezi kuyajuwa.
 
mbona diamond yuko na tuzo moja tu..... na ndio hiyo kaishikilia tuko kwenye msafara maeneo ya Buguruni sasa

Si mashabiki maandazi wanajiropokea tu kama hawana akili nzuri, yani mashabiki wa ndomo wana ushamba flani iv unawasumbua na ulimbukeni

Nasikia watu wachache ni kweli? Maana mvua hii mmh kweli ma haters na wachawi wamefanya yao
 
Mpwa ndio hivyoo

ingawa umesema tuliokuja kumpokea ni wazururaji imebidi nikuelewe kwasababu we ni mpwa wangu tu.

Ahaha nasikia kumedoda? Chezea warumi wewe watu tumelala makaburin toka juzi tulivyopata taarifa ya ujio wake
 
Si mashabiki maandazi wanajiropokea tu kama hawana akili nzuri, yani mashabiki wa ndomo wana ushamba flani iv unawasumbua na ulimbukeni

Nasikia watu wachache ni kweli? Maana mvua hii mmh kweli ma haters na wachawi wamefanya yao

watu walikuwepo wa kutosha tu....., huyo aliesema wachache sijui katumia kipimo gani.....

nimekumbuka diamond alipochukua ile tuzo akasema "i wanna dedicate this award to my president Jakaya Mrisho Kikwereee" mambo ya kuslangisha... kikwete ikawa kikwere
 
Katangaza kabisa waende kumpokea saa usiku , yani ana wazimu huyu si bure

Kwani anagawa hela au anazo yeye mfukoni mwake. Kiongozi anaweza kusema hivyo na si huyu Mburula ambaye hajawahi changia hata Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa. Jamii impokee kwa lip alilowafanyia?
 
ngoja waende kuibiwa mitaa yenyewe ile ya watoto wa mbwa mwitu pumbavu
wanacheza na maeneo yale kuanzia kipawa,kiwalani,vingunguti yote ya watoto wa mbwa ile

inamaana si tunaokaa Vingunguti kiembe mbuzi ni watoto wa mbwaa mwee...

ngoja nikanunue supu kwa wagogo hapa... karibu supu
 
watu walikuwepo wa kutosha tu....., huyo aliesema wachache sijui katumia kipimo gani.....

nimekumbuka diamond alipochukua ile tuzo akasema "i wanna dedicate this award to my president Jakaya Mrisho Kikwereee" mambo ya kuslangisha... kikwete ikawa kikwere

tuwekeeni picha bas
 
Mpwa mimi sina tatizo lolote na Diamond ila wewe ukiwa kama mshabiki wa Diamond kwa nini hukwenda kumpokea?
 
Sasa kwa nini usini tag au kuni quote ili nisome ujumbe wangu? Au ndo nidhamu ya uwoga? Kama umeishiwa point na umefilisika maneno ni bora ukae kimya na ukubali matokea, hayo mambo ya ushoga sijui niliwahi kukutongoza inbox nikamuomba t@ko au ndo mapovu yanakutoka ndugu yangu

Nimeona unatukana watu ovyo humu au Diamondi alikula ndogo kakubwaga? So naona hasira zako unazitolea humu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom