Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Haaha ahaha hata mimi mda mwingine nasomaga ninavyo comment nacheka sana hadi nawaza sijui nilikuwa nafikir nini kuandika vile ahaha ahah

hahaaaa binamu eti ****** kuhamia kwenye hips mweeee nimechekaje
nimeamka najiandaa kwenda kwa Shem darling....
 
Unajua mwanzo nilifikiri ni utani sababu najua swala la kupokelewa si la kuomba ni swala ambalo unajikuta uanapata au linapangwa kwa siri bila mhusika kujua ndio linakuwa zuri!

Sasa hili la muhusika kuomba kupokelewa limenishangaza sana na nimecheka!

hahaaa ndio hivyooo tuliambiwa saa 8 ratiba imebadilika to saa 1 asubuh hapa mie najiandaa mdogo mdogo kuelekea eneo la tukio
 
hahaaa ndio hivyooo tuliambiwa saa 8 ratiba imebadilika to saa 1 asubuh hapa mie najiandaa mdogo mdogo kuelekea eneo la tukio

Mkienda airport mtaambiwa saa nane usiku aaaaaahaaaa chezea ndomo wewe
 
Tatizo lako hujui kitu halafu unajifanya unajua, huna idea ya safari za ndege kabisa. Sasa niambie, ndege gani inatua Dar-salaam saa 8 usiku.

unajuwa Turkish airways inaingia saa ngapi? wewe umezoea kupokea watu ratiba za ndege tuulize wasafiri.
 
Umeanza vizuri halafu ukaboronga. Anaconda alienda kupokea tuzo mwenyewe wala hakuwakilishwa.

Oooh asante, je labda nini sababu ya Jide kutokuwa kwenye media kuhusu hiyo tuzo?
 
Tulia wewe wengine hatupelekwipelekwi kama nyie. Mfano wimbo wa nataka kulewa lewa umebeba ujumbe gani wa kuisaidia jamii. Tupa kulee

hujapewa unyumba na mkeo hasira uje umalizie kwangu.

fasihi ina kazi kuu mbili 1.kuelimisha na 2.kuburudisha in case u didn't know...,kama hukuona ujumbe ujue kazi no 2 ilihusika kama hukuona vyote viwili then that is your problem.

wimbo hauna ujumbe we wako wenye ujumbe uko wapi????
 
Wewe mbumbu peleka ujinga kule. Unaburudisha huku unabimoa jamii kwa kuiambia ilewe sio
 
Wewe mbumbu peleka ujinga kule. Unaburudisha huku unabimoa jamii kwa kuiambia ilewe sio

unajifanya kuponda ukipewa pen na karatasi uandike japo nusu verse macho yatakutoka ka fundi saa aliepoteza nati...

mmelazimishwa kusikiliza nyimbo zake si mumsikilize Bonny mwaitege, msondo ngoma...,muijenge hiyo jamii.
 
nimeanza kukusoma sasa ujue.......
sa Mama ubaya kwanini alituambia hizo habari

Ndio tunafanya ivo. Ukikosa kiasi utashabikia hadi shetani na kazi zake. Msukule sio lazima uokote makopo hata kushabikia ujinga kwa kupelekwpelekwa na kufuata mkumbo ni usukule mkubwa sana

unajifanya kuponda ukipewa pen na karatasi uandike japo nusu verse macho yatakutoka ka fundi saa aliepoteza nati...

mmelazimishwa kusikiliza nyimbo zake si mumsikilize Bonny mwaitege, msondo ngoma...,muijenge hiyo jamii.
 
Ndio tunafanya ivo. Ukikosa kiasi utashabikia hadi shetani na kazi zake. Msukule sio lazima uokote makopo hata kushabikia ujinga kwa kupelekwpelekwa na kufuata mkumbo ni usukule mkubwa sana

we kweli chizi waheed,
eti ooh huyu jamaa Freemason na mawazo yako ya mgando mtabakia kuwa watabiri na kusugua gaga mtaani ye anasonga....

nitamshabikia diamond na siachi abadan asilan...siwezi kuacha kumshabikia kisa maneno ya wakosaji kama wewe...
 
Nchi kuwa na raia kama wewe ni hasara tupu.

Ni hasara meansnchi kuwa na raia kama wewe ni faida labda mpaka leo umeifanyia nini nchi chochote cha maana?bora mimi nashindwa kuleta faida lakini kwa upande mwingine nasapoti vilivyo vya nchi yetu
 
we kweli chizi waheed,
eti ooh huyu jamaa Freemason na mawazo yako ya mgando mtabakia kuwa watabiri na kusugua gaga mtaani ye anasonga....

nitamshabikia diamond na siachi abadan asilan...siwezi kuacha kumshabikia kisa maneno ya wakosaji kama wewe...

Msukule utaachaje wakati hujitambui. Wew endelea kwani umenyimwa. Kwani kanumba ilikuaje baadae si ndo mlianza kustuka ooh imekuaje ivi ni kweli, sangapi tena mambo ndo yashakua na umeshikwa masikio
 
Msukule utaachaje wakati hujitambui. Wew endelea kwani umenyimwa. Kwani kanumba ilikuaje baadae si ndo mlianza kustuka ooh imekuaje ivi ni kweli, sangapi tena mambo ndo yashakua na umeshikwa masikio

we unaejitambua umelifanyia nini hasa taifa?????

tulianza mi na nani???

niliwahi kukufata kuuliza japo swali moja kati ya hayo uliyoorodhesha???

#kitorondo #mwendawazimkaingiaje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom