Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Ila Jamani Kwani Hakuna Msanii Mwingine Wa Kike Anayefanya Vizuri??Jide Naona Fans Wameanza Kuchokaaa....:
Cuzooo Najua Utanipiga Jiwe...HuuuuHuuuuu

Ndo tuwaulize mashabiki wa ndomo hakuna msanii mwingine zaidi yake? Tumemchoka
 
Attachments

  • 1406655831178.jpg
    1406655831178.jpg
    55.4 KB · Views: 181
Honey, leo ni tarehe 29/july, anatakiwa afanye perfomance Canada kuanzia tarehe 2/august.Hapo juu umeonyesha kwamba kesho watu wanatakiwa wampokee airport. Ni uzushi tu hou.

salamander the guy is coming tomorrow bana....,
 
hahaaa ingekua mchana hapo sawa ila hiyo nite nite hawezi kuingia hata nusu ya wale wa kwa Obama

Mmh kuna watu wana mahaba na ndomo binamu wataenda na ivi hamna kiingilio ndo kabisa , maana ingekuwa show wangetozwa elfu kumi kuingia sasa apo free entrance akina abdala msogoti washindwe wao tu ila na yeye katisha saa nne usiku? Sasa wenzie wanarudije wakimpokea? Ndomo anapenda ufalme kiama
 
anaingia kesho saa moja asubuhi
 
Honey, leo ni tarehe 29/july, anatakiwa afanye perfomance Canada kuanzia tarehe 2/august.Hapo juu umeonyesha kwamba kesho watu wanatakiwa wampokee airport. Ni uzushi tu hou.

Kusoma hujui ata picha uoni? Ebu acha ushamba wako wewe , mimi sio -------- ku post kitu ambacho hakipo, Heaven on Earth picha hii apa ya ndomo akiomba kupokelewa maana mijitu mibishi ka mishipa ya mbo0, sasa na apo abishe kama sijamwagia tindikali mfyuuu
 
Last edited by a moderator:
Mmh kuna watu wana mahaba na ndomo binamu wataenda na ivi hamna kiingilio ndo kabisa , maana ingekuwa show wangetozwa elfu kumi kuingia sasa apo free entrance akina abdala msogoti washindwe wao tu ila na yeye katisha saa nne usiku? Sasa wenzie wanarudije wakimpokea? Ndomo anapenda ufalme kiama

..Out of topic
Binamu umesikia Bilali mashauzi anatoa single
 
lawyer nini kimekuchekesha
Unajua mwanzo nilifikiri ni utani sababu najua swala la kupokelewa si la kuomba ni swala ambalo unajikuta uanapata au linapangwa kwa siri bila mhusika kujua ndio linakuwa zuri!

Sasa hili la muhusika kuomba kupokelewa limenishangaza sana na nimecheka!
 
Hizi ndizo akili za watanzania, ni chuki chuki chuki chuki

Diamond mashabk wako tupo usijal
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom