Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Ameshafika kwenye saa 2.20. Ila mashabiki walikuwa kiduchu.
 
unajichosha na wehu hao. Achana nao viazi hao
 
unajuwa Turkish airways inaingia saa ngapi? wewe umezoea kupokea watu ratiba za ndege tuulize wasafiri.

Inawezekana we dreva wa taxi pale airport ndo maana unajua ratiba za ndege zote, za Uturuki, za Lusaka, za Comoro etc.
Mi nasafiri sana tu, wala hiyo isikusumbue.
 
mbona diamond yuko na tuzo moja tu..... na ndio hiyo kaishikilia tuko kwenye msafara maeneo ya Buguruni sasa
 
Nimeshaiona, ma haters tunasubir tu tuone atakavyovunja rekodi ya kupokelewa na watu wengi kuliko hata OBAMA.

ngoja waende kuibiwa mitaa yenyewe ile ya watoto wa mbwa mwitu pumbavu
wanacheza na maeneo yale kuanzia kipawa,kiwalani,vingunguti yote ya watoto wa mbwa ile
 
Inawezekana we dreva wa taxi pale airport ndo maana unajua ratiba za ndege zote, za Uturuki, za Lusaka, za Comoro etc.
Mi nasafiri sana tu, wala hiyo isikusumbue.

Hata ningekuwa taxi driver nisingejuwa exctly turkish airways inaingia saa napi kwa sababu matax driver pale wakishapata abiria wa KLM huwa hawarudi tena kwa kifupi last flight ni KLM.

Sasa kuna hizi nyingine wewe huzijui za usiku mkubwa, Kulula airways cheap flight ya kwenda Johanesburg, KQ ya kukupeleka Nairobi to connect ur flight to your destination. Haya kula kulala kama wewe huwezi kuyajuwa.
 
mbona diamond yuko na tuzo moja tu..... na ndio hiyo kaishikilia tuko kwenye msafara maeneo ya Buguruni sasa

Si mashabiki maandazi wanajiropokea tu kama hawana akili nzuri, yani mashabiki wa ndomo wana ushamba flani iv unawasumbua na ulimbukeni

Nasikia watu wachache ni kweli? Maana mvua hii mmh kweli ma haters na wachawi wamefanya yao
 
Mpwa ndio hivyoo

ingawa umesema tuliokuja kumpokea ni wazururaji imebidi nikuelewe kwasababu we ni mpwa wangu tu.

Ahaha nasikia kumedoda? Chezea warumi wewe watu tumelala makaburin toka juzi tulivyopata taarifa ya ujio wake
 
Si mashabiki maandazi wanajiropokea tu kama hawana akili nzuri, yani mashabiki wa ndomo wana ushamba flani iv unawasumbua na ulimbukeni

Nasikia watu wachache ni kweli? Maana mvua hii mmh kweli ma haters na wachawi wamefanya yao

watu walikuwepo wa kutosha tu....., huyo aliesema wachache sijui katumia kipimo gani.....

nimekumbuka diamond alipochukua ile tuzo akasema "i wanna dedicate this award to my president Jakaya Mrisho Kikwereee" mambo ya kuslangisha... kikwete ikawa kikwere
 
Katangaza kabisa waende kumpokea saa usiku , yani ana wazimu huyu si bure

Kwani anagawa hela au anazo yeye mfukoni mwake. Kiongozi anaweza kusema hivyo na si huyu Mburula ambaye hajawahi changia hata Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa. Jamii impokee kwa lip alilowafanyia?
 
ngoja waende kuibiwa mitaa yenyewe ile ya watoto wa mbwa mwitu pumbavu
wanacheza na maeneo yale kuanzia kipawa,kiwalani,vingunguti yote ya watoto wa mbwa ile

inamaana si tunaokaa Vingunguti kiembe mbuzi ni watoto wa mbwaa mwee...

ngoja nikanunue supu kwa wagogo hapa... karibu supu
 
tuwekeeni picha bas
 
Mpwa mimi sina tatizo lolote na Diamond ila wewe ukiwa kama mshabiki wa Diamond kwa nini hukwenda kumpokea?
 
Nimeona unatukana watu ovyo humu au Diamondi alikula ndogo kakubwaga? So naona hasira zako unazitolea humu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…